Poromoko la theluji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Puero Rico --> Puerto Rico
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Lawine.jpg|thumbnail|right|200px|Banguko la theluji milimani]]
 
'''Banguko''' ni(ing. kiasi''avalanche''<ref>Banguko kikubwasi Kiswahili cha mawekawaida, ardhi,ni msamiati wa [[KAST]]</ref>) ni kiasi kikubwa cha [[theluji]] au [[barafu]], pia cha [[Miporomoko ya ardhi|mawe au ardhi]], kinachoanza kusogea kwenye mtelemko wa mlimani na kuteleza au kuanguka kwa kuelekea bondeni.
 
Mwendo wa masi kubwa inaweza kusukuma miamba, miti na chochote kilichopo njiani kwenye mtelemko wa mlima na kuongeza banguko.
Mstari 11:
 
Kwenye [[Andes]] za [[Peru]] watu 4,000 waliuawa na banguko kubwa tar. [[11 Januari]] [[1962]]. Banguko ya theluji ilitelemka mlima Huascaran na kufunika mji wa Yungay; mengine yalianguka katika mto na kusababisha mafuriko.
 
* Tazama pia: [[Miporomoko ya ardhi]]
 
[[Jamii:Maafa asilia]]