Miporomoko ya ardhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Miporomoko ya ardhi''' ([[ing.]] ''landslide'') hutokea pale ambako miamba, mchanga, au vifusi vinaposonga chini kwenye mteremko. Mitiririko ya vifusi, ambayo pia huitwa mimonyoko ya udongo, ni aina ya mporomoko wa ardhi inayotokea kwa kasi sana yenye mwelekeo wa mfereji.
 
==Kisababishi cha miporomoko ya ardhi na mitiririko ya vifusi==