Mboo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 26:
== Mabadiliko ya viungo vya uzazi ==
[[Uume]] ([[mboo]]) wa [[mvulana]] unakua, lakini kwa kiasi tofauti kati ya mtu na mtu. Ni muhimu kila mmoja ajipokee alivyo hata katika kiungo hicho, bila ya kuhangaika wala kuona [[aibu]] kwa sababu, eti ni kidogo. Hata hivyo uume unaweza kukarabatiwa ili kuzidisha urefu au upana kwa jia toafauti tofauti ikiwemo kufanyiwa operesheni, pampu za kuvuta<ref>{{Citation|title=Do Penis Pumps Really Work? (Aug 2018) {{!}} 5 Best Penis Enlargement Pump|date=2016-07-11|url=https://www.penetric.com/penis-pumps/|work=Men's Sexual Health|language=en-US|access-date=2018-09-03}}</ref>, kundungwa sindano<ref>{{Cite web|url=https://www.laserpenoplasty.com/others/index.php?title=glans-filler|title=Penoplasty, Glans Augmentation Using Fillers (Non- Surgical Augmentation of the Glans)|author=Alessandro, Littara|work=www.laserpenoplasty.com|accessdate=2018-09-03}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.smallpenisenlargement.net/glans-enhancement-penis-head-augmentation/|title=Glans Enhancement – Penis Head Augmentation {{!}} Small Penis Enlargement 2018|date=2018-09-01|language=en-US|work=www.smallpenisenlargement.net|accessdate=2018-09-03}}</ref> na hata kutumia dawa za kumeza kama tembe au kuipakakupaka ingawa mafanikio ya ukarabati huu haujadhibitishwaumeibua hisia kisayansitofauti.
 
Kusimika kwa uume si jambo jipya kwa kuwa [[utotoni]] limeshatokea kawaida kutokana na [[kibofu]] kujaa [[mkojo]]. Ila sasa linaweza kutokea kwa sababu mpya, yaani [[jinsia]].