Content deleted Content added
d Tabia za mbwa kuiga tabia za binadamu
d Masahihisho aliyefanya Josjakeson (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Ndesanjo
Tag: Rollback
Mstari 35:
 
Spishi nyingine zinatokea [[msitu|misituni]] na nyingine zinatokea maeneo wazi. Mbwa hukamata mawindo aina yoyote lakini ukubwa wa mawindo unafuatana na ukubwa wa spishi ya mbwa. Hata hivyo, spishi zinazoishi kwa makundi, kama [[mbwa-mwitu wa Afrika]], zinaweza kukamata windo kubwa sana kuliko wao wenyewe. Spishi kadhaa hufugwa na binadamu, hususan mbwa-kaya.
 
Kwa miaka mingi, mbwa amebandikwa jina la "Mbwa ni rafiki mkubwa wa binadamu" ambalo kwa kimombo ni "man's best friend". Hii ni kwa sababu mbwa anatumia muda mwingi pamoja na binadamu, na pia ameeza kuiga tabia mingi za binadamu. Kwa mfano, mbwa anaeza wasiliana na binadamu kwa lugha ya ishara na pia kwa maneno. Katika nchi za kigeni, kumetokea video ambazo zaonyesha mbwa akichukua takataka katika viwanja vya burudani, kutumwa dukani, akichunga mtoto mdogo, na hali kadhalika. Pia, katika idara ya polisi na vikosi vya jeshi, mbwa ameeza kufunzwa kufanya upelelezi ili kunasa dawa za kulevya na silaha zisizokubaliwa.
 
== Spishi za Afrika ==
Line 136 ⟶ 134:
*{{Cite book|title=Nutrient requirements of dogs |isbn=0-309-02315-7 |author= National Research Council (U.S.). Subcommittee on Dog Nutrition |publisher=National Academy of Sciences |year=1974|url=https://books.google.com/books?id=ezArAAAAYAAJ}}
* [https://allaboutmydogs.com/dog-run-best-dog/ Ujenzi wa sehemu ya mbwa kucheza]
 
*https://thecatsite.net/invisible-fence-for-cats/
 
*http://thepetly.com
 
*https://thecatsite.net/best-shock-collar-for-cats/
 
[[Jamii:Mbwa na jamaa]]