Nsunga : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Marejeo: Takwimu za Kata Nsunga, 2018 |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Nsunga''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Missenyi]] katika [[Mkoa wa Kagera]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''35316''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tzPostcodeList.pdf</ref>.
Baadhi ya [[Kijiji|vijiji]] katika kata hii ni pamoja na:
* Igayaza
* Ngando
Line 6 ⟶ 7:
* Byamutemba
Watu wanaoishi katika kata hii wanajihusisha na [[kilimo]] cha [[kahawa]], [[ndizi]], [[mboga]] mboga, na [[ufugaji]]. Nsunga ni kata
Kata hii pia imekuwa na umaarufu kwa kuwa na ukanda wenye kutuama [[maji]], ambapo nyakati za [[kiangazi]] hutumika katika kuzalisha mboga za [[majani]] na [[matunda]]. Maeneo haya ni pamoja na [[Kyarukorongo]], [[Kigwanga]] na [[Gelegele]], ambako mboga nyingi huzalishwa, na hasa katika mkoa wa Kagera. [[Wakulima]] hawa hutegemea [[soko]] kuu la [[Bunazi]], lililoko [[wilaya ya Missenyi]].
Kata hii pia ina [[milima]] mingi ambayo ilitumika kwa umuhimu zaidi katika [[vita
[[Tarehe]] [[10 Septemba]] [[2016]] Nsunga ilikuwa mahali pa [[kitovu]] cha [[tetemeko la ardhi la Kagera 2016]].▼
▲Tarehe 10 Septemba 2016 Nsunga ilikuwa mahali pa kitovu cha [[tetemeko la ardhi la Kagera 2016]].
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Missenyi}}
{{mbegu-jio-kagera}}
|