Frederick Lugard : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Unja1234 alihamisha ukurasa wa Frederick Lugard, 1st Baron Lugard hadi Frederick Lugard: Jina linalojulikana |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Frederick Lugard, 1st Baron Lugard.jpg|thumb|Frederick Lugard]]
'''Frederick John Dealtry Lugard''' (Januari 22, 1858 – Aprili 11, 1945), alikuwa mwanajeshi, [[mamluki]], [[upelelezi|mpelelezi]] na mtawala wa koloni. Alikuwa Gavana wa Hong Kong (mwaka 1907-1912), Gavana wa mwisho wa Nchi Lindwa ya Nijeria Kusini (mwaka 1912-1914), balozi wa kwanza (mwaka 1900-1906) na gavana wa mwisho (mwaka 1912-1914) wa Nchi Lindwa ya Nijeria Kaskazini na kwanza Gavana Mkuu wa Nijeria (mwaka 1914-1919).
Line 16 ⟶ 17:
== Huduma katika koloni ==
Mwaka 1894, Lugard alitumwa na [[Kampuni ya Kifalme ya
Baada ya kuhudumu katika Jeshi la Afrika Magharibi, Lugard aliteuliwa kuwa Balozi wa Nchi Lindwa ya Nijeria Kaskazini. Alisoma tangazo liliotangaza kuundwa kwa nchi lindwa katika Januari 1, 1900.<ref>{{Cite newspaper The Times||articlename=The Transfer of Nigeria to the Crown|day_of_week=Thursday|date=8 February 1900|page_number=7|issue=36060}}</ref>
Lugard alifanywa [[shujaa wa ukoo bora]] mwaka 1901 kwa sababu ya huduma yake katika Nijeria.
== Marejeo ==
|