Tofauti kati ya marekesbisho "Frederick Lugard"

174 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Frederick Lugard, 1st Baron Lugard.jpg|thumb|Frederick Lugard]]
'''Frederick John Dealtry Lugard''' ([[22 Januari]] 22, [[1858]] [[11 Aprili]] 11, [[1945]]), alikuwa [[mwanajeshi]], [[mamluki]], [[upelelezi|mpelelezi]] na [[mtawala]] wa [[koloni]]. Alikuwa Gavana wa Hong Kong (mwaka 1907-1912), Gavana wa mwisho wa  Nchi Lindwa ya Nijeria Kusini (mwaka 1912-1914), balozi wa kwanza  (mwaka 1900-1906) na gavana wa mwisho (mwaka 1912-1914) wa Nchi Lindwa ya Nijeria Kaskazini na Gavana Mkuu wa kwanza wa Nijeria (mwaka 1914-1919).
 
Alikuwa [[Gavana]] wa [[Hong Kong]] ([[1907]]-[[1912]]), Gavana wa mwisho wa [[Nchi Lindwa]] ya [[Nijeria Kusini]] (1912-[[1914]]), [[balozi]] wa kwanza ([[1900]]-[[1906]]) na gavana wa mwisho (1912-1914) wa Nchi Lindwa ya [[Nijeria Kaskazini]] na Gavana Mkuu wa kwanza wa [[Nijeria]] (1914-[[1919]]).
Alizaliwa katika Madras ([[Chennai]]), [[Uhindi|India]], lakini alilelewa katika Worcester, [[Uingereza]].<ref>{{Cite web|url=https://www.findagrave.com/memorial/126290001/frederick-john_dealtry-lugard|title=Sir Frederick John Dealtry Lugard (1858-1945) - Find A Grave Memorial|date=13 June 2018}}</ref>
 
Alizaliwa katika Madras ([[Chennai]]), [[Uhindi|India]], lakini alilelewa katika [[Worcester]], [[Uingereza]].<ref>{{Cite web|url=https://www.findagrave.com/memorial/126290001/frederick-john_dealtry-lugard|title=Sir Frederick John Dealtry Lugard (1858-1945) - Find A Grave Memorial|date=13 June 2018}}</ref>
 
== Upelelezi katika Afrika Mashariki ==
[[Picha:Frederick_John_Dealtry_Lugard,_Vanity_Fair,_1895-12-19.jpg|left|thumb|Lugard katika picha iliyochorwa na mwandishi wa jarida la Vanity Fair, mwaka [[1895]]]]
Baada ya kuondoka [[Malawi|Unyasa]] [[Aprili]], [[mwaka]] [[1889]], Lugard alikubali kufanya [[kazi]] katika [[Kampuni ya Kifalme ya Kiingereza kwa Afrika ya Mashariki]] (IBEAC). Alifika katika [[Mombasa|mji wa Mombasa]] katikamnamo [[Disemba]] ya mwaka huo. Katika mwaka [[1888]], IBEAC ilikuwa imepatiwa idhini ya kifalme na [[Malkia Victoria]] ili kuangalia uwezo wa kupanua ushawishi katika [[Zanzibar]] na [[Uganda]]<ref>{{Cite news|url=https://softkenya.com/kenya/imperial-british-east-africa-company-ibea/|title=The Imperial British East Africa Company - IBEAC|date=2013-01-10|work=Softkenya.com|access-date=2017-05-29|language=en-US}}</ref> na likuwakulikuwa na nia ya kufungua njia ya ya [[biashara]] kati ya [[Ziwa VictoriaViktoria]] katika Uganda na Bandari[[bandari]] ya Mombasa. Kituo cha kwanza cha biashara kilikuwa katika [[Machakos]]. Walikuwa wakifika Machakos kupitia njia za zamani ambazo zilikuwa zikipitia [[Jangwa la Taru]], lenye [[joto]] kali na [[vumbi]] jingi.
 
Kazi ya kwanza ya Lugard ilikuwa kutafuta njia ya kufikia Machakos ambayo haingepitia Jangwa la Taru.<ref>{{Cite book|title=The Lunatic Express|last=Miller|first=Charles|date=2015|publisher=Head of Zeus Ltd.|isbn=9781784972714|location=London|at=4022}}</ref> 
 
Agosti, mwaka [[1890]], Lugard alisafiri kutoka Mombasa hadi [[Uganda]]. Alihakikisha [[utawala]] na ushawishi wa Uingereza katika [[Ufalme wa Buganda]] na kukomesha ghasia kati ya vikundi tofauti ndani ya ufalme.<ref>{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=FT0zAQAAMAAJ&dq=lugard%20blood%20brotherhood&pg=PA330#v=onepage&q=lugard%20blood%20brotherhood&f=false|title=The London Quarterly and Holborn Review|date=1894|publisher=E.C. Barton|pages=330|language=en}}</ref><ref>{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=UEc9DgAAQBAJ&lpg=PA126&ots=ebQ12BwMNh&dq=ibeac%20treaty&pg=PA126#v=onepage&q=ibeac%20treaty&f=false|title=Robert Thorne Coryndon: Proconsular Imperialism in Southern and Eastern Africa, 1897-1925|last=Youé|first=Christopher P.|date=2006-01-01|publisher=Wilfrid Laurier Univ. Press|isbn=9780889205482|pages=126|language=en}}</ref>
 
Alipatiwa [[jukumu]] la kufanya makubaliano na [[Kabila|makabila]] ya wenyeji na kujenga [[ngome]] njiani ili kuhakikisha [[usalama]] wa ziara ambazo IBEAC ingefanya baadaye.<ref>{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=7XQdt37BJ6cC&lpg=PA11&ots=USyYZB_L7X&dq=ibeac%20treaty%20russell%20diary&pg=PP1#v=onepage&q=ibeac%20treaty%20russell%20diary&f=false|title=Red Strangers: The White Tribe of Kenya|last=Nicholls|first=Christine Stephanie|date=2005|publisher=Timewell Press|isbn=9781857252064|pages=10|language=en}}</ref> IBEAC ilifanya makubaliano kutumia hati rasmi zilizokuwa zimeandikwa na kutiwa [[saini]] na watawala na viongozi wa makabila, lakini Lugard alipendelea kufanya makubaliano ya [[Uchale|undugu wa kuchanjiana]], kwani aliamini [[undugu]] huo uliwasawazisha.<ref name=":0">{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/968732897|title=The Lunatic Express.|last=Charles.|first=Miller,|date=2015|publisher=Head of Zeus|year=|isbn=9781784972714|location=|pages=4015|oclc=968732897}}</ref> Aliingia katika makubaliano kadhaa kama hayo na viongozi wa makabila kati ya Mombasa na Uganda. Mojawapo ya makubaliano ya uchale ambayo ni maarufu yalifanyika mwaka 1890, katika [[Dagoretti]], kati yake na [[Waiyaki Wa Hinga|Waiyaki]] wa [[Hinga]].<ref>{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=sO-TBwAAQBAJ&dq|title=Africans and Britons in the Age of Empires, 1660-1980|last=Osborne|first=Myles|last2=Kent|first2=Susan Kingsley|date=2015-03-24|publisher=Routledge|isbn=9781317514817|pages=1|language=en}}</ref>
 
Lugard alikuwa mtawala wa [[jeshi]] katika Uganda kutoka Disemba 26, mwaka 1890 hadi Mei mwaka 1892. Wakati huo, alizuru [[Safu ya Ruwenzori]] hadi [[Ziwa Edward]], akichora [[ramani]] ya maeneo hayo. Pia, alisafiri hadi [[Ziwa Albert (Afrika)|Ziwa Albert]] na akarudi na [[Elfu|maelfu]] ya [[Wasudani]] ambao walikuwa wameachwa na [[Emin Pasha]] na [[Henry Morton Stanley|H. M. Stanley]] wakati wa ziara yao.
 
== Huduma katika koloni ==
Mwaka [[1894]], Lugard alitumwa na [[Kampuni ya Kifalme ya Nijeria]] aende [[Borgu]], ambapo alifanya makubaliano na viongozi ambao walitambua utawala wa Uingereza. Kutoka mwaka [[1896]] hadi mwaka [[1897]], Lugard aliongoza [[msafara]] wa kuenda katika [[Ziwa Ngami]], [[Botswana]]. Baadaye, alitumwa [[Koloni yala Lagos]] na [[bara]] Nijeria ili aanzishe jeshi la wenyeji ili lilinde maslahi ya Uingereza dhidi ya [[Ufaransa]]
 
Baada ya kuhudumu katika [[Jeshi la Afrika Magharibi]], Lugard aliteuliwa kuwa Balozi wa Nchi Lindwa ya Nijeria Kaskazini. Alisoma tangazo liliotangaza kuundwa kwa nchi lindwa katika Januari 1, 1900.<ref>{{Cite newspaper The Times||articlename=The Transfer of Nigeria to the Crown|day_of_week=Thursday|date=8 February 1900|page_number=7|issue=36060}}</ref> 
 
Lugard alifanywa [[shujaa wa ukoo bora]] mwaka [[1901]] kwa sababu ya [[huduma]] yake katika Nijeria.
 
== Marejeo ==
{{Reflist|2}}
{{mbegu-mtu}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1858]]
[[Jamii:Waliofariki 1945]]