Michael Jackson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Riccardo Riccioni (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Lanwi1
Tag: Rollback
Mstari 16:
| Tovuti = [http://www.michaeljackson.com MichaelJackson.com]
}}
'''Michael Joseph Jackson''' ([[29 Agosti]] [[1958]] – [[25 Juni]] [[2009]]) alikuwa [[mwimbaji]], mchezaji [[dansi]]dansa na mburudishaji kutoka nchini [[Marekani]]. Hufahamika piazaidi kwa jina la heshimakiheshima-utani kama ''Mfalme wa Pop. Hutambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio zaidi kwa muda wote, na moja kati ya waburudishaji wenye mvuto na athira kubwa katika medani ya muziki. Michango yake katika muziki, dansi na fasheni,<ref name="Jackson: A Fashion Retrospective">film.com: [http://www.film.com/celebrities/michael-jackson/story/michael-jackson-a-fashion-retrospective/28853307''Michael Jackson: A Fashion Retrospective,] 29. Novemba 2009</ref> na hasa suala la kuanika hadharani maisha yake binafsi, imemfanya awe kioo cha ulimwengu katika tamaduni maarufu kwa ziaidi ya miongo minne .
 
Akiwa pamoja na ndugu zake, Jackson amefanya uongozi wa uimbaji kwa mara ya kwanza akiwa kama mwanachama mdogo kabisa katika kundi la [[AlbamuThe Jackson 5]] mnamo mwaka wa 1964. Ameanza kazi ya usanii wa kujitegemea kunako mwaka wa 1971. Albamu yake ya mwaka wa 1982 ''[[Thriller]]'' imebaki kuwa albamu yenye mauzo bora kwa muda wote. Mchango wakewaka katika utengenezaji wa muziki wa [[video]] umeinua kutoka katika hali ya kawaida hadi katika hali ya kisanii zaidi: video zake kama vile ''[[Billie Jean]]'', ''[[Beat It]]'' na '' [[Thriller (wimbo)|Thriller]]'' inamfanya kuwa msanii Mmarekani Mweusi wa kwanza kupata kupigiwa nyimbo yake sana kwenye [[nyimboMTV]]. zakeJackson kwenyeameipa umaarufu baadhi ya maunja ya kudansi, kama vile [[MTVrobot (dansi)|robot]] na [[moonwalk (dansi)|moonwalk]]. Staili ya muziki wake, staili ya sauti yake na zile koregrafia zilitambulika vizazi kwa vizazi, kirangi na hata katika mipaka ya kitamaduni.
Hutambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio zaidi kwa muda wote, na moja kati ya waburudishaji wenye mvuto na athira kubwa katika medani ya [[muziki]].
 
Jackson ni mmoja kati ya wasanii wachache waliowekwa mara mbili kwenye [[Rock and Roll Hall of Fame]]. Mafanikio mengine yanajumlisha ''[[Guinness World Records]]'' (ikiwa ni pamoja ''Mburudishaji Mwenye Mafanikio kwa Muda Wote''), Tuzo za [[Grammy Award|Grammy]] 15 (ikiwa ni pamoja na ile ya ''[[Living Legend Award]]'' na ile ya ''Lifetime Achievement Award''), 26 [[American Music Awards]] (24 akiwa kama msanii pekee ya kujitegemea, ikiwa ni pamoja na moja kwa ajili ya ''Msanii wa Karne'') - zaidi—zaidi ya msanii mwingine yeyote —yeyote— single zake 17 zimeshika nafasi ya kwanza huko nchini Marekani (ikiwa ni pamoja na nne akiwa kama mwanachama wa kina Jackson 5), na inakadiriwa kafanya mauzo ya rekodi zaidi ya milioni 750 dunia nzima,<ref name=" Michael Jackson album sales soar">{{cite web |url=http://edition.cnn.com/2009/SHOWBIZ/Music/06/26/michael.jackson.album.sales/|title= Michael Jackson album sales soar|publisher=[[CNN]]|date=2009-06-26|accessdate=2009-09-02}}</ref> inafanya kuwa miongoni mwa wasanii waliouza rekodi zao vilivyo kwa muda wote na haijawahi kutokea .<ref>{{cite web|last=Bialik |first=Carl |url=http://online.wsj.com/article/SB124760651612341407.html |title=The Wall Street Journal, Spun: The Off-the-Wall Accounting of Record Sales by Carl Bialik, Retrieved August 21, 2009 |publisher=Online.wsj.com |date=15 Julai 2009 |accessdate=2 Septemba 2009}}</ref>
Michango yake katika muziki, dansi na [[fasheni]],<ref name="Jackson: A Fashion Retrospective">film.com: [http://www.film.com/celebrities/michael-jackson/story/michael-jackson-a-fashion-retrospective/28853307''Michael Jackson: A Fashion Retrospective,] 29. Novemba 2009</ref> na hasa suala la kuanika hadharani [[maisha]] yake binafsi, imemfanya awe [[kioo]] cha [[ulimwengu]] katika [[tamaduni]] maarufu kwa zaidi ya miongo minne .
 
Maisha binafsi ya Jackson yamezua utata kwa miaka kadhaa. [[Afya na Mwonekano wa Michael Jackson|Kujibadilisha kwa mwonekano wake]] ilianza kutambulika tangu mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelea, kwa kubadilisha pua yake, na rangi ya ngozi yake, imesababisha makisio kadha wa kadha katika vyombo vya habari. Mnamo mwaka wa 1993 alishtakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia kwa mtoto, ingawa hakuna mashtaka yoyote yaliyotolewa dhidi yake. Mnamo mwaka wa 2005 amejaribu kuachana na mashtaka kama yale ya awali. Ameoa mara mbili, kwanza alioa mnamo 1994 na akaja kuoa tena mnamo 1996. Amepata watoto watatu, mmoja alizaliwa kwa mama mwenye kuchukua mimba kwa ajili ya familia fulani.
Akiwa pamoja na [[ndugu]] zake, Jackson amefanya uongozi wa uimbaji kwa mara ya kwanza akiwa kama mwanachama mdogo kabisa katika [[kundi]] la [[The Jackson 5]] mnamo mwaka wa [[1964]]. Ameanza kazi ya [[usanii]] wa kujitegemea kunako mwaka wa 1971.
 
Jackson amekufa mnamo tar. 25 Juni 2009 kwa kuzidisha kiasi cha dawa wakati anajiandaa na ziara ya tamasha lake la [[This Is It|''This Is It'']], ambalo lilitakiwa lianze katikati mwa mwaka wa 2009. Ameripotiwa kwamba alitumia dawa aina ya [[propofol]] na [[lorazepam]]. Afisa uchunguzi wa vifo wa Wilaya ya Los Angeles ameelezwa kuwa kifo chake ni uuaji wa binadamu, na mashtaka yanakwenda kwa daktari wake binafsi kwa kosa la kuua bila kukusudia. Kifo cha Jackson kimeamsha mihemko ya huzuni ulimwenguni, na huduma ya ukumbusho wake uliofanywa hadharani, ulitangazwa duniani, ulitazamwa na maelfu ya watu moja kwa moja.<ref>Bucci, Paul and Wood, Graeme. [http://www.vancouversun.com/Entertainment/Michael+Jackson+billion+people+estimated+watching+gold+plated+casket+memorial+service/1767503/story.html Michael Jackson RIP: One billion people estimated watching for gold-plated casket at memorial service]. ''The Vancouver Sun'', 7 Julai 2009.</ref>
[[Albamu]] yake ya mwaka wa 1982 ''[[Thriller]]'' imebaki kuwa albamu yenye mauzo bora kwa muda wote. Mchango wake katika utengenezaji wa muziki wa [[video]] umeinua kutoka katika hali ya kawaida hadi katika hali ya kisanii zaidi: video zake kama vile ''[[Billie Jean]]'', ''[[Beat It]]'' na '' [[Thriller (wimbo)|Thriller]]'' inamfanya kuwa msanii Mmarekani Mweusi wa kwanza kupata kupigiwa sana [[nyimbo]] zake kwenye [[MTV]].
 
Jackson ameyapa umaarufu baadhi ya maunja ya kudansi, kama vile [[robot (dansi)|robot]] na [[moonwalk (dansi)|moonwalk]]. Staili ya muziki wake, staili ya [[sauti]] yake na zile koregrafia zilitambulika vizazi kwa vizazi, kirangi na hata katika mipaka ya kitamaduni.
 
Jackson ni mmoja kati ya wasanii wachache waliowekwa mara mbili kwenye [[Rock and Roll Hall of Fame]]. Mafanikio mengine yanajumlisha ''[[Guinness World Records]]'' (ikiwa ni pamoja ''Mburudishaji Mwenye Mafanikio kwa Muda Wote''), Tuzo za [[Grammy Award|Grammy]] 15 (ikiwa ni pamoja na ile ya ''[[Living Legend Award]]'' na ile ya ''Lifetime Achievement Award''), 26 [[American Music Awards]] (24 akiwa kama msanii pekee ya kujitegemea, ikiwa ni pamoja na moja kwa ajili ya ''Msanii wa Karne'') - zaidi ya msanii mwingine yeyote — single zake 17 zimeshika nafasi ya kwanza huko nchini Marekani (ikiwa ni pamoja na nne akiwa kama mwanachama wa kina Jackson 5), na inakadiriwa kafanya mauzo ya rekodi zaidi ya milioni 750 dunia nzima,<ref name=" Michael Jackson album sales soar">{{cite web |url=http://edition.cnn.com/2009/SHOWBIZ/Music/06/26/michael.jackson.album.sales/|title= Michael Jackson album sales soar|publisher=[[CNN]]|date=2009-06-26|accessdate=2009-09-02}}</ref> inafanya kuwa miongoni mwa wasanii waliouza rekodi zao vilivyo kwa muda wote na haijawahi kutokea .<ref>{{cite web|last=Bialik |first=Carl |url=http://online.wsj.com/article/SB124760651612341407.html |title=The Wall Street Journal, Spun: The Off-the-Wall Accounting of Record Sales by Carl Bialik, Retrieved August 21, 2009 |publisher=Online.wsj.com |date=15 Julai 2009 |accessdate=2 Septemba 2009}}</ref>
 
Maisha binafsi ya Jackson yamezua utata kwa miaka kadhaa. Kujibadilisha kwa mwonekano wake kulianza kutambulika mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelea, kwa kubadilisha pua yake, na rangi ya ngozi yake, imesababisha makisio kadha wa kadha katika vyombo vya habari.
 
Mnamo mwaka wa 1993 alishtakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia kwa mtoto, ingawa hakuna mashtaka yoyote yaliyotolewa dhidi yake. Mnamo mwaka wa 2005 amejaribu kuachana na mashtaka kama yale ya awali.
 
Ameoa mara mbili, kwanza alioa mnamo 1994 akaja kuoa tena mnamo 1996. Amepata watoto watatu, mmoja alizaliwa kwa mama mwenye kuchukua mimba kwa ajili ya familia fulani.
 
Jackson amekufa mnamo tarehe 25 Juni 2009 kwa kuzidisha kiasi cha dawa wakati anajiandaa na ziara ya tamasha lake la [[This Is It|''This Is It'']], ambalo lilitakiwa lianze katikati ya mwaka wa 2009. Ameripotiwa kwamba alitumia dawa aina ya [[propofol]] na [[lorazepam]]. Afisa uchunguzi wa vifo wa Wilaya ya Los Angeles ameelezwa kuwa kifo chake ni uuaji wa binadamu, na mashtaka yanakwenda kwa daktari wake binafsi kwa kosa la kuua bila kukusudia.
 
Kifo cha Jackson kimeamsha mihemko ya huzuni ulimwenguni, na huduma ya ukumbusho wake uliofanywa hadharani, ulitangazwa duniani, ulitazamwa na maelfu ya watu moja kwa moja.<ref>Bucci, Paul and Wood, Graeme. [http://www.vancouversun.com/Entertainment/Michael+Jackson+billion+people+estimated+watching+gold+plated+casket+memorial+service/1767503/story.html Michael Jackson RIP: One billion people estimated watching for gold-plated casket at memorial service]. ''The Vancouver Sun'', 7 Julai 2009.</ref>
 
== Wasifu ==
Line 50 ⟶ 36:
Maisha binafsi ya Michael Jackson yalikuwa yakifahamika sana. Pia, alishawahi kutiwa shaurini kwa unyanyasaji wa mtoto, lakini hakukutanika na kosa. Alifanya upasuaji maalumu ili abadilishe mwonekano wake. Michael aliyezaliwa kwa maumbile ya [[Mwamerika mweusi]] mwishoni alikuwa na ngozi nyeupe usoni na baada ya upasuaji kadhaa pua lake likawa nyembamba si pana tena. Mwenyewe alidai ya kwamba badiliko la rangi lilisababishwa na ugonjwa. Watu waliomtazama hawakupatana kama mabadiliko ya kimaumbile yalikuwa ama tokeo la kuona aibu kuonekana kama Mwafrika au jaribio kuwa na uso linalorahisisha mawasiliano yake na watu wa bara zote.
 
Michael, alimwoa Bi. [[Lisa Marie Presley]], [[binti]] wa [[Elvis Presley]]. Jackson, pia alikuwa akimiliki eneo kubwa lenye makazi lililoitwa Neverland, ambalo baadaye liliuzwa kwa kampuni na nusu bado inamilikiwa na mwenyewe.
 
[[Image:Michael Jackson Reagan Pete Souza 1984 cropped.jpg|thumb|right|[[Michael Jackson]] in the [[White House]]'s [[Diplomatic Reception Room]] in Mei 1984.]]
 
==Afya na muonekano==
Kuanzia katikati mwa miaka ya 1980 imekuwa wazi kwamba mwonekano wa Jackson ulikuwa unabadilika bila kificho. Ngozi ya mwili wake imeanza kupauka, pua na umbo la sura yake imebadilika, na kapoteza uzito.
 
Ile hali ya mpauko wa ngozi awali ulisababishwa na [[vitiligo]] na [[:en:Systemic lupus erythematosus|lupus (ugonjwa wa ngozi ambao tiba yake ni tata)]] — ambao Jackson alijaribu kuutibia kunako mwaka wa 1986—na matumizi yake ya vipodozi mbalimbali ili kuficha madoa yake ya mwilini.<ref name="tara 434–436">Taraborrelli, pp. 434–436</ref> Baadhi ya madaktari wa upasuaji wamekisia ya kwamba pia alifanya "rhinoplasty" (upasuaji wa pua), kuinua paji la uso, upasuaji na usawazishaji wa kidevu, na kabadilisha vilevile midomo yake.<ref name="ABCNews"/> Hayo yote ya karibu yanakadiliwa kufanywa na mwimbaji huyo kunako miaka ya 1990, amepitia karibia michakato kumi ya kubadili umbo lake.<ref name="tara 434–436"/>
 
Jackson na baadhi ya ndugu zake walisema ya kwamba walikuwa wakinyanyasika sana kimwili na kihisia na baba yao, na mwaka wa 2003, alikubali kwamba alikuwa akimchapa viboko sana Jackson wakati yu mtoto.<ref>[http://news.bbc.co.uk/2/hi/uk_news/magazine/8121599.stm Can Michael Jackson's demons be explained?], [[BBC News]], 27 Juni 2009.</ref> Jackson hapendi kabisa kulizungumzia hili, lakini pindi tu anapolisema, anakuwa na huzuni sana na kusema ya kwamba angetapika kabla ya kukutana na baba'ke. Madaktari wanasema alikuwa na matatizo ya maumivu ya mwili. [[Deepak Chopra]], daktari na rafiki wa karibu Jackson kwa karibia miaka 20, amesema: "Kilichokuwa shurutisho kwake ni hali ya kufanya upasuaji uliokuwa a hali ya kujibalisha mwenyewe, hali ambayo dhahiri ni kutojiheshimu au kujikubali wewe kama wewe."<ref name=Posner>Posner, Gerald. [http://www.thedailybeast.com/blogs-and-stories/2009-07-02/chopra-michael-jackson-could-have-been-saved/ Deepak Chopra: How Michael Jackson Could Have Been Saved], ''The Daily Beast'', 2 Julai 2009.</ref>
 
Wakati fulani katika miaka ya 1990, ilionekana ya kwamba Jackson amekuwa tegemezi kubwa la madawa mbalimbali, hasa dawa za kuua maumivu na na vipoozeo vikalivikali, na afya yake ikaanza kuyumba waziwazi. Ameenda kujiswafi kunako mwaka wa 1993 kwa msaada wa [[Elizabeth Taylor]] na [[Elton John]],<ref name = "campbell (1995) 89-93"/> lakini ulevi wa dawa ulibaki palepale. [[Kifo cha Michael Jackson|Amefariki]] kwa mshtuko wa moyo kunako tar. [[25 Juni]] [[2009]].
 
===Vitiligo na lupus, tiba na athari===
[[Image:Michael Jackson gives autographCropped.jpg|thumb|180px|left|Jackson miaka miwili baada ya kubainiwa kuwa ana vitiligo, picha imepigwa wakati wa hatua za awali za ugonjwa huo]]
Ngozi ya Jackson ilikuwa rangi ya kahawia (au sana huita maji ya kunde) katika hali ya ujana wake, ila, kuanzia katikati mwa miaka ya 1980, hatua kwa hatua ngozi yake ikaanza kudhoofika mno kwa kile kilichofikiriwa kujichubua ngozi na kujibadilisha mwonekano wake kuwa Mzungu. Mabadiliko haya yalienea katika kila chombo cha habari.<ref name = "campbell (1995) 14-16"/> Kwa mujibu wa wasifu wa [[J. Randy Taraborrelli]], mnamo 1986, Jackson alifanyiwa tiba ya [[vitiligo]] na [[:en:Systemic lupus erythematosus|lupus]]; vitiligo yenyewe tu tayari ishafanya ngozi iwe nyeupe, na lupus ilikuwa inaishia; magonjwa yote mawili yalikuwa yanamfanya akimbie mwanga wa jua, kitendo ambacho kilisababisha hali ya ugonjwa wake wa lupus kurudi upya.<ref name="tara 434–436"/>
 
Kutibu hali hizi, Jackson akatumia Solaquin, [[Tretinoin]] (dawa ya kutibu utangoutango mixa vipele) na Benoquin. Vilevile alikuwa na kawaida ya kutumia [[:en:hydroxychloroquine|hydroxychloroquine]] kwa kujichoma moja kwa moja katika jelaha lake la kichwani.<ref name = "tara 434–436"/> Tiba alizokuwa anatumia kwa ajili ya hali yake ilikuwa inaongeza zaidi kupausha ngozi yake, na kamchezo kake cha kujipaka madawa ya kuoanisha weupe wa ngozi yake imezidi kumfanya aonekane kituko.<ref name = "tara 434–436"/>
 
Mnamo mwezi wa Februari ya mwaka wa 1993, Jackson ametoa uwazi usio wa kawaida katika mahojiano yake ya dakika tisini na [[Oprah Winfrey]], mahojiano yake ya kwanza televisheni tangu mwaka wa 1979. Wakati wa mahojiano haya, amelikataa swali la kwamba anajichubua, katangaza kinagaubaga ya kwamba alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa vitiligo na kwa maana hiyo ametumia dawa kadhaa wa kadhaa kuhakikisha hiyo hali inamuondoka.Mahojiano hayo yalitazamwa na watu milioni 62&nbsp;kutoka Marekani.<ref>{{cite news | title=Thriller for Diane Sawyer: Interview with Jackson Two |url=http://www.nydailynews.com/archives/entertainment/1995/05/18/1995-05-18_thriller_for_diane_sawyer__i.html |date=18 Mei 1995|work=Daily News |location=New York |accessdate=Jul. 3, 2009}}</ref> Hoja ya vitiligo imezua gumzo katika jamii, hali ambayo ilikuwa haijulikani hapo awali.<ref name = "campbell (1995) 14-16">Campbell (1995), pp. 14–16</ref><ref name = "lewis 165-168">Lewis pp. 165–168</ref><ref name="george pp. 45-46">George, pp. 45–46</ref><ref name = "brisbane on vitiligo">[http://www.brisbanetimes.com.au/articles/2007/12/18/1197740229199.html 'I'm a black man turning white on television'"], ''BrisbaneTimes'', 18 Desemba 2007</ref> Uchunguzi wa maiti ya Jackson umethibitisha kuwa alikuwa na vitiligo.<ref>{{cite news | first=Corky |last=Siemaszko |title=Michael Jackson autopsy report confirms singer suffered from vitiligo, wore wig, had tattooed makeup |url=http://www.nydailynews.com/gossip/2010/02/10/2010-02-10_michael_jackson_autopsy_report_confirms_singer_suffered_from_vitiligo_wore_wig_h.html |date=10 Februari 2010|work=Daily News |location=New York|accessdate=Jun. 25, 2010}}</ref>
 
Wakati wa kufanya ziara ya Kiaustralia ya [[HIStory World Tour]], Jackson akamuoa mwuguzi wake wa [[:en:Dermatology|masuala ya ugonjwa wa ngozi]] Bi. [[Deborah Jeanne Rowe|Debbie Rowe]].<ref name="taraborrelli pp. 580-581">Taraborrelli, pp. 580–581</ref><ref name="taraborrelli p. 597">Taraborrelli, p. 597</ref> Wawili hao walikutana katikati mwa miaka ya 1980, wakati Jackson alivyokuwa anatibiwa ugonjwa wa vitiligo. Ametumia miaka mingi kutibu ugonjwa wake vilevile kutoa misaada ya kihisia na kifikra, na wakajenga uhusiano mkubwa kabla hawajaanzisha mahusiano ya kimapenzi.<ref name="taraborreli p. 570">Taraborrelli, p. 570</ref> Wawili hao walitalikiana mnamo mwaka wa 1999 na wakabaki marafi tangu hapo.<ref name="taraborrelli pp. 599-600">Taraborrelli, pp. 599–600</ref>
 
===Utaratibu wa vipodozi na mpangilio wa mlo===
[[File:Michael Jackson Cannes.jpg|thumb|180px|Jackson akiwa katika tamasha la [[1997 Cannes Film Festival]].]]
Umbo la sura yake limebadilika pia; madaktari wa upasuaji kadhaa wamekisia ya kwamba, kunako miaka ya 1990, amepitia upasuaji kadhaa wa pua, kuinua paji la uso, kufanya midomo iwe myembaba, na upasuaji wa mfupashavu.<ref name="ABCNews">{{cite web |url=http://abcnews.go.com/Health/Cosmetic/story?id=131910&page=1 |title=Surgeon: Michael Jackson A 'Nasal Cripple' |publisher=[[ABC News]] |date=8 Februari 2003 |accessdate=Nov. 11, 2006 }}</ref> Kulingana na mwana-wasifu J. Randy Taraborrelli, Jackson alifanya upasuaji wake wa pua kwa mara ya kwanza baada ya kuvunja pua yake wakati anacheza mchezo wa hatari kunako mwaka wa 1979.
 
Hata hivyo, upasuaji huo haukukamilika kisawasawa, na kulalamika ya kwamba upumuaji wake wa tabu utaathiri shughuli zake. Akaelekezwa kwa Dk. [[Steven Hoefflin]], ambaye alifanya upasuaji wake wa pua wa pili mnamo mwaka wa 1981.<ref name = "tara 205–210">Taraborrelli, pp. 205–210</ref> [[Katherine Jackson]], ingawa, alisema hivi karibuni katika mahojiano yake ya kwamba Michael alipata madhila yake ya pua kwa makusudi hapo mara ya kwanza. Taraborrelli alieleza kwamba Jackson alifanya tena upasuaji wa pua kwa mara ya tatu miaka mitatu baadaye na ya nne mnamo mwaka wa 1986.<ref>{{cite news| url=http://www.dailymail.co.uk/news/article-1196633/How-Jacksons-surgery-desperate-bid-look-like-father-hated.html | work=Mail Online | title=How Jackson's surgery was a desperate bid not to look like the father he hated | date=2009-07-01 | accessdate=2012-04-08 | first1=Randy | last1=Taraborelli}}</ref>
 
Jackson ameandika katika tawasifu wake mnamo 1988 ''[[Moonwalk (kitabu)|Moonwalk]]'' kwamba, katika ongezeko la upasuaji wa pua, pia alipata kutengeneza kidimpo katika kidevu chake.<ref name = "jackson 229-230">Jackson, pp. 229–230</ref> Toka 1986 na kuendelea alikuwa mteja wa kawaida wa [[Arnold Klein]], a mtaalamu wa magonjwa ya ngozi ambaye amebobea katika tiba ya sindano za ugonjwa ngozi, utaratibu wa utoaji wa tiba ya upodozi bila upasuaji.<ref>{{cite news| url=http://transcripts.cnn.com/TRANSCRIPTS/0907/08/lkl.01.html | work=CNN | title=CNN.com}}</ref>
 
Katika kitabu chake, Jackson amedhania kuwa madailiko ya sura yake ni matokeo ya kubalehe, mpangalio mkali wa mlo wa kutokula nyma, upungufu wa uzito, badiliko katika mtindo wa nyewele na mataa ya jukwaani.<ref name = "jackson 229-230"/> Jackson amekana madai ya kwamba kabadilisha macho yake.<ref name="jackson p. 256">Jackson, p. 256</ref> Kunako 1990, kiwango chote cha upasuaji wa Jackson kilijadiliwa mno; hayo yalikaribia kusema kwamba mwimbaji huyo amepitia karibia taratibu kumi za upasuaji katika sura yake tu hadi sasa.<ref name = "tara 434–436"/> Ilivyofika mwezi Juni 1992, gazeti la ''[[Daily Mirror]]'' limeweka picha nzima katika ukurasa wake wa mbele, likidai sura ya Jackson, ambayo walielezea kama "sura mbaya isiyo na umbo zuri" kwa kufanya upasuaji wa sura.
 
Jackson akalishtaki jarida hilo na mwaka wa 1998 wakakubaliana kuondoa kesi mahakamani na kuyamaliza na Jackson. Wakiwa Mahakama Kuu, mhariri wa zamani wa gazeti hilo alitoa taarifa baada ya kukutana na Jackson ana-kwa-ana, na kuamini kwamba Jackson hakuwa na sura la kutisha wala yeye mwenyewe hatishi kabisa. Mwasheria wa ''Daily Mirror'' amesawazisha chapisho kwa kusema kwamba toleo lile halijagongana na picha.<ref name="BBCNews">{{cite news |url=http://news.bbc.co.uk/2/hi/entertainment/210759.stm|title=Mirror says sorry for Jackson libel |publisher=BBC |date=9 Novemba 1998 |accessdate=Jul. 29, 2008 }}</ref>
 
===Afya ya wasiwasi===
Jackson na [[Familia ya Jackson|baadhi ya ndugu zake]] walieleza ya kwamba walikuwa wakinyanyaswa na kudhalilishwa sana na baba yao [[Joe Jackson|Joseph]] wakati wapo wadogo, kupitia mazoezi ya kila siku, viboko na matumizi ya kuitana majina mabaya ya kashfa kama vile "nyampua" kwa Jackson; udhalilishaji huu umemwathiri Jackson kwa maisha yake yote.<ref name="MJ's secret childhood">{{cite web |url=http://www.vh1.com/shows/dyn/vh1_news_presents/82010/episode_about.jhtml |title=Michael Jackson's Secret Childhood |publisher=[[VH1]] |accessdate=Jun. 20, 2008}}</ref> Katika moja ya mabishano makali—ambayo baadaye yalikumbushiwa na [[Marlon Jackson]]—Joseph alimning'iniza Michael miguu juu kichwa chini huku akimshika mguu mmoja tu na "kumchapa vibiko kwa mkono wake tena na tena, na kumpiga vibako vya matakoni".<ref name = "tara 20-22">Taraborrelli, pp. 20–22</ref> Joseph alikuwa na kawaida ya kuwachukua vijana na kuwatupa ukutani.<ref name = "tara 20-22"/>
 
Usiku mmoja wakati Jackson kalala, Joseph amepanda hadi chumbani kwa mwanae kwa kupitia dirilisha la bafuni. Huku akiwa amevaa kinyago cha kutisha, ameingia chumbani na kuanza kupiga ukelele wa nguvu. Joseph amesema eti alitaka kuwafundisha watoto zake wasiache dirisha wazi wakati wanaenda kulala. Kwa miaka kadhaa baada ya hapo, Jackson amesumbuliwa na ndoto za kutisha za jinamizi linakuja kumchukua chumbani kwake.<ref name = "tara 20-22"/> Mwanzoni mwa miaka ya 1980, alikuwa hana furaha kabisa; Jackson alieleza, "Hata nyumbani, nipo mpweke. Ninakaa chumbani kwangu na wakati mwingine najililia mwenyewe. Ni vigumu sana kuwa na marafiki... Wakati mwingine natoka nje wakati wa usiku na kuzungukia maeneo ya jirani, nikiwa na matumani ya kumpata japo mtu wa kuzungumza nae. Lakini naishia kurudi nyumbani."<ref>Taraborrelli, p. 206</ref>
 
Ijapokuwa ilikuwa imeripotiwa kudhalilishwa kwake wakati yupo mtoto kwa miaka kadhaa, yeye binafsi alizungumza kinagaubaga kuhusu hilo katika mahojiano yake ya mwaka wa 1993 na Oprah Winfrey. Alikunja uso kwa huzuni wakati anazungumzia mateso aliyokuwa ana pata kutoka katika mikono ya baba yake mzazi; na aliamini ya kwamba ameyakosa maisha yake ya utotoni kwa miaka kadhaa, akikubaliana na hali ya kwamba alikuwa akilia mara kwa mara hasa kwa kufuatia upweke aliokuwa nao.<ref name="campbell (1995) 14-16"/><ref name = "lewis 165-168">Lewis pp. 165–168</ref><ref name="george pp. 45-46">George, pp. 45–46</ref> Katika mahojiano yaleyale, kuhusu baba'ke, Jackson alisema, "Kulikuwa na wakati alikuwa anakuja kuniona, napata homa... Naanza kucheua. Samahani... Tafadhali usinikasirikie... Lakini nampenda."<ref name="taraborrelli p. 620">Taraborrelli, p. 620</ref> Katika mahojiano mengine ya Jackson yenye maudhui ya hali ya juu ya ''[[Living with Michael Jackson]]'' (2003), Jackson alificha uso wake na kuanza kulia pale anapozungumzia maisha ya utotoni mwake na mateso aliyokuwa anayapata.<ref name = "tara 20-22"/>
 
Jackson alikumbushia kwamba Joseph alikuwa ana-kaa katika wakati kundi linafanya mazoezi, na kusema, "Akiwa na mkanda mkono mwake. Kama hujafanya chapchap, lazima akupe kubwa, na akikupa lazima uisikie - sio mchezo. Ilikuwa ovyo kishenzi. Ovyo kwelikweli nakwambia."<ref name="taraborreli p. 602">Taraborrelli, p. 602</ref> Mwaka wa 2003, mwimbaji huyu alishtakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa watoto kesi iliisha baada ya miaka miwili. Wakati uchuguzi unaendelea, hali ya Jackson ilishughulikiwa na Stan Katz, mtaalamu wa masuala ya akili, ambaye pia alitumia masaa kadhaa na mshitaki. Kwa mujibu wa [[J. Randy Taraborrelli]], uchunguzi uliofanywa na Katz ulionesha Jackson akili yake imerudi kama mtoto mwenye miaka kumi.<ref name="taraborreli p. 648">Taraborrelli, p. 648</ref> Baadhi ya wataalamu wa tiba walithubutu kusema hadharani kwamba wanaamini mwimbaji pia alikuwa na matatizo ya akili ya kujiona kama watu wengine wanamwona si yeye kutaka mwonekano wa mtu mwingine, hali ya kisaikolojia ambapo msumbuliwa hana wazo au uwezo wa kufikiria taswira yake jinsi watu wanavyochukulia.<ref name = "tara 434–436"/>
 
== Mauti ==
Michael Jackson amefariki mnamo tar. [[25 Juni]] [[2009]] baada ya kuwaisha katika hospitali ya [[Ronald Reagan UCLA Medical Center|UCLA Medical Center]].<ref>{{cite news | first=Andrew | last=Blankstein | coauthors= Phil Willon |authorlink= | title=Michael Jackson is dead [Updated] | date=25 Juni 2009 | publisher= | url =http://latimesblogs.latimes.com/lanow/2009/06/pop-star-michael-jackson-was-rushed-to-a-hospital-this-afternoon-by-los-angeles-fire-department-paramedics--capt-steve-ruda.html | work =[[The LA Times]] | pages = | accessdate = 25 Juni 2009| language = }}</ref> Ilifikiriwa kwamba alipata mshtuko wa moyo, ikiwa na maana kwamba moyo wake ulisimama na imeonekana ya kwamba sababu yake ilikuwa matumizi mabaya ya madawa mengi mno.<ref>{{cite web|url=http://www.foxnews.com/story/0,2933,529103,00.html|title=AP: Michael Jackson Dies at Los Angeles Hospital|date=25-06-2009|accessdate=25-06-2009}}</ref> At 4:36 pm local time, the Los Angeles [[coroner]] confirmed Jackson's death.<ref>{{cite news |title=Special Report with Keith Olberman |publisher=[[MSNBC]] |media=Television |date=25 Juni 2009 |accessdate=2009-06-25}}</ref>
 
Wakati wa mautiumauti yakewake, Jackson alikuwa na umri wa miaka 50. Tetesi za habari za kifo cha Jackson, kimevunja rekodi ya mtandao na kusababisha msongamano mtandaoni<ref>http://www.usatoday.com/life/people/2009-06-26-jackson-web-traffic_N.htm</ref> kwa kuwapa tabu Google, Twitter, Facebook, na Yahoo msongamano mkubwa wa utafutaji wa habari zake.<ref>http://www.pcmag.com/article2/0,2817,2349422,00.asp </ref><ref>http://www.computerworld.com/action/article.do?command=viewArticleBasic&articleId=9134896&intsrc=news_ts_head</ref>
 
== Diskografia ==
Line 111 ⟶ 55:
* ''[[HIStory: Past, Present and Future, Book I]]'' (1995)
* ''[[Invincible (albamu ya Michael Jackson)|Invincible]]'' (2001)
 
==Tazama pia==
*[[Afya na Mwonekano wa Michael Jackson]]
 
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
 
==Soma zaidi==
{{Refbegin}}
*{{Cite book|last=Campbell|first=Lisa|title=Michael Jackson: The King of Pop's Darkest Hour|publisher=Branden|year=1995|isbn=0-8283-2003-9}}
*[[Nelson George|George, Nelson]] (2004). ''[[Michael Jackson: The Ultimate Collection]]'' booklet. [[Sony BMG]].
*{{Cite book |last=Jackson |first=Michael |title=[[Moon Walk (autobiography)|Moon Walk]] |year=1988 |publisher=Doubleday |isbn=0-385-24712-5 }}
*{{Cite book |last=Lewis |first=Jel |title=Michael Jackson, the King of Pop;: The Big Picture: the Music! the Man! the Legend! the Interviews! |year = 2005 |publisher=Amber Books Publishing|isbn=0-9749779-0-X}}
*{{Cite book |last=Taraborrelli |first=J. Randy |authorlink=J. Randy Taraborrelli |title=The Magic and the Madness |year=2004 |publisher=Headline |location=Terra Alta, WV |isbn=0-330-42005-4 }}
{{Refend}}
 
== Viungo vya nje ==
Line 128 ⟶ 66:
 
{{Michael Jackson}}
<!-- interwiki -->
 
{{DEFAULTSORT:Jackson, Michael}}