Shiraz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 19:
'''Shiraz''' ni [[mji]] mkubwa na muhimu nchini [[Uajemi]] (Iran). Ni [[jiji]] lenye [[watu]] [[milioni]] 1.4 hivi na mji mkuu wa eneo la Farsi.
 
==Historia==
Jina la Shiraz linaonekana tayari kwenye [[vigae vya mwandiko wa kikabari]] vilivyokutwa katika maghofu ya [[Persepolis]]. Wakati wa [[uvamizi]] wa [[Waarabu]] [[Waislamu]] mnamo [[mwaka]] [[650]] [[BK]] mji ilikuwa [[kitovu]] cha Uajemi [[kusini]].
[[Jina]] la Shiraz linaonekana tayari kwenye [[vigae vya mwandiko wa kikabari]] vilivyokutwa katika [[maghofu]] ya [[Persepolis]].
 
Jina la Shiraz linaonekana tayari kwenye [[vigae vya mwandiko wa kikabari]] vilivyokutwa katika maghofu ya [[Persepolis]]. Wakati wa [[uvamizi]] wa [[Waarabu]] [[Waislamu]] mnamo [[mwaka]] [[650]] [[BK]] mji ilikuwa [[kitovu]] cha Uajemi [[kusini]].
Mnamo mwaka 1000 Shiraz ilikuwa mji mkuu wa nasaba ya Wabuya waliotawala sehemu kubwa za Iran na Irak pamoja na pwani la [[Ghuba ya Uajemi]] ''(Persian Gulf)''. Katika kipindi hiki iko pia asili ya masimulizi kuhusu "[[Washirazi]]" waliosemekana walitoka "Shiraz" na kukimbilia pwani la Afrika ya Mashariki.
 
Mnamo [[mwaka]] [[1000]] Shiraz ilikuwa mji mkuu wa nasaba ya Wabuya waliotawala sehemu kubwa za Iran na [[Irak]] pamoja na [[pwani]] laya [[Ghuba ya Uajemi]] ''(Persian Gulf)''. Katika kipindi hiki iko pia [[asili]] ya masimulizi kuhusu "[[Washirazi]]" waliosemekana walitokakutoka "Shiraz" na kukimbilia pwani laya [[Afrika ya Mashariki]].
 
{{mbegu-jio-Asia}}