Eric Bailly : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Eric Bertrand Bailly''' (matamshi ya Kifaransa: [eʁik bɛʁ.tʁɑ baji]; alizaliwa 12 Aprili, 1994) ni mchezaji wa soka wa Ivory Coast a...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Eric Bertrand Bailly''' ([[matamshi]] ya [[Kifaransa]]: [eʁik bɛʁ.tʁɑ baji]; alizaliwa [[12 Aprili]], [[1994]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Ivory Coast]] ambaye anacheza katika [[klabu]] ya [[Uingereza]] [[Manchester United FC]] na [[timu ya taifa]] ya Ivory Coast. Hasa ni [[kiungo]] wa kati; pia anaweza kucheza kama [[beki]] wa kati.
 
Bailly alianza kazi yake katika klabu ya [[Hispania]] ya [[Espanyol]], kabla ya kuhamia [[Villarreal]]. Alicheza msimu miwili katika klabu hiyo na baadae mwezi [[Juni]] 2016 alisaini na Manchester United.
 
Alicheza [[mechi]] yake ya kimataifa ya Ivory Coast mwaka [[2015]] na kuwasaidia kushinda [[Kombe la Mataifa ya Afrika]] mwaka huo.
Bailly alianza kazi yake katika klabu ya [[Hispania]] ya [[Espanyol]], kabla ya kuhamia [[Villarreal]]. Alicheza msimu miwili katika klabu hiyo na baadae mwezi [[Juni]] 2016 alisaini Manchester United.
Alicheza mechi yake ya kimataifa ya Ivory Coast mwaka [[2015]] na kuwasaidia kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka huo.
 
 
{{mbegu-cheza-mpira}}
 
[[jamii:waliozaliwa 1994]]
 
[[jamii:watu walio hai]]
[[jamii:waliozaliwawachezaji 1994mpira wa Cote d'Ivoire]]
[[jamii:wachezaji mpira wa Ivory Coast]]