Uchaguzi wa Bunge la Kenya 2007 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
*[[Orange Democratic Movement|ODM]] na chama shirikishwa cha [[NARC]] vina viti 102 (ODM pekee 99).
*[[ODM-Kenya]] ina viti 16.
*Wabunge 11 walichaguliwa kwa majina ya vyama vidogo visivyoshirikishwa na vyama vikubwa. Wengine wao wako karibu na chama kikubwa walijiunga na chama kidogo baada ya kushindwa kuwa mgobeamgombea wa chama kikubwa kama ODM au PNU.
 
Magazeti yalitoa taarifa ya kwamba wabunge 30 wa vyama vidogo waliunda "Kundi la vyama vidogo bungeni" (Small Parties Parliamentary Group); idadi hii ingejumlihsa wabunge waliohesabiwa juu kama kundi la PNU.