Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho madogo
Mstari 1:
[[Picha:East Africa WWI as at August 1915.png|thumb|300px|Ramani ya vita ya Afrika ya Mashariki mwaka 1915 <small>(kutoka New York Times)</small>]]
{{History of Tanzania}}
'''Kampeni za Afrika ya Mashariki''' ulikuwazilikuwa mfululizo wa mapigano ya kivita yaliyotokea [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] (Tanganyika, Rwanda na Burundi ya leo) na koloni jirani za [[Msumbiji]], [[Rhodesia ya Kaskazini]] (Zambia), [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (Kenya), [[Uganda]], na [[Kongo ya Kibelgiji]]. Kampeni hizi zilianza mwezi wa Agosti 1914 zikaisha rasmi mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 1918.<ref name="Holmes 2001, p. 361">Holmes 2001, p. 361.</ref>
 
==Wajerumani na mataifa ya ushirikiano==
Wapiganaji katika vita hii walikuwa [[Schutztruppe]] (jeshi la kikoloni cha Kijerumani) lililofanywa hasa na askari Waafrika waliosimamiwa na maafisa Wajerumani pamoja na walowezi Wajerumani na wanamaji wa manowari ya Kijerumani waliokaa Afrika ya Mashariki wakati wa mwanzo wa vita 1914.

Dhidi yao walisimama jeshi dogo la kikoloni la Kiingereza katika Kenya na Rhodesia, halafu vikosi vya jeshi la kikoloni la Uhindi ya Kiingereza na vikosi kutoka Afrika Kusini. Kutokana magharibiAfrika ya Magharibi.Pia walishiriki vikosi zavya Force Publique ya Kibelgiji kutoka Kongo. Tangu mwaka 1916 jeshi la kikoloni la Kireno katika [[Msumbiji]] liliingia upande wa Uingereza.
Mikakati ya jeshi la kikoloni la Kijerumani lililoongozwa na Luteni Koloneli (baadaye ''Meja-jenerali'') [[Paul Emil von Lettow-Vorbeck]] ililenga kuwalazimisha wapinzani hasa Waingereza kutumia wanajeshi wengi iwezekanavyo katika Afrika kwa shabaha ya kuwazuia wasipatikane kwenye vita ya Ulaya.
Line 11 ⟶ 13:
 
==Awamu ya kwanza: 1914-1915==
Katika awamu laya kwanza laya vita vikosi vya Schutztruppe vilishambulia [[reli ya Uganda]] na vituo vya mpakani na Kenya. Waingereza walijibu kwa kukusanya walowezi wao katika Kenya bila kufaulu kuwazuia Wajerumani walioteka mji wa [[Taveta]]. Hiyvo Waingereza walichukua askari 12,000 Wahindi na 2 Novemba 1914 walishambulia [[Tanga]]. Lakini askari Waafrika wa jeshi la Kijerumani waliwashinda Tanga na baadaye pia [[Longido]] karibu na [[mlima Kilimanjaro]], wengine huko [[Yasini]].
[[picha:Battle of tanga.jpg|thumb|250px|Mapigano ya Tanga]]
Hapo Waingereza waliamua kuchukua wanajeshi Wazungu kutoka Afrika Kusini chini ya amri wa jenerali [[Jan Smuts]] waliofika Kenya hadi mwisho wa 1915. Wakati huohuo Wabelgiji walipanga pamoja na Uingereza kupeleka vikosi vya jeshi lake la Force Publique katika Kongo mpakani wa magharibi.
 
==Awamu ya pili: shambulio dhidi ya Tanganyika==
Line 22 ⟶ 24:
* Wareno walivamia pembetatu ya Kionga (nchi ng'ambo ya mto Rufiji) na nyanda za juu za Umakonde. Lakini walishindwa hapa wakapaswa kurudi Msumbiji
 
Hadi Agosti 1916 [[mataifa ya ushirikiano]] yalishika miji muhimu ya Tanganyika isipokuwa Daressalaam. Moshi iltekwa mwezi wa Machi. [[Reli ya Kati]] ya Tanganyika kuanzia Tabora, Dodoma hadi Morogoro ilikuwa mkononi mwao. Walisita kuvamia Daressalaam kwa sababu waliogopa mapigano makali lakini Lettow-Vorbeck aliwahi kuondoa askari wake tayari kwa sababu hakutafuta mapigano makubwa dhidi ya maadui mwenye nguvu zaidi. Alipeleka jeshi lake katika eneo upande wa kusini wa mstari Daressalaam-Morogoro-Iringa pasipo na njia nzuri akitegemea Waingereza wasingeweza kutumia usafiri kwa malori na reli.
Alipeleka jeshi lake katika eneo kusini ya mstari Daressalaam-Morogoro-Iringa pasipo na njia nzuri akitegemea Waingereza wasingeweza kutumia usafiri kwa malori na reli.
 
Hadi hapa maendeleo ya vikosi vya maungano yalikuwa na matatizo mengi. Walitegemea hasa askari Wazungu na Wahindi waliozoea kusafiri na mizigo mikubwa ya vyakula, nguo na hema na kwa hiyo walihitaji [[wapagazi]] wengi. Hivyo maendeleo yao yalikuwa polepole wakahitaji chakula kingi kulisha askari pamoja na wapagazi. Askari pamoja na sehemu ya wapagazi walikuwa wageni ambao hawakuzoea vema hali ya hewa na magonjwa hivyo walisumbuliwa na ugonjwakiafya. Kwa mfano kikosi cha 9th South African Infantry ilifika kwamwezi wa Februari 1916 chenye askari Wazungu 1,135 mwezi wa Februari 1916 na hadi Oktoba ni 116 pekee waliobaki tayari kwa vita, ingawa kikosi hiki hakikuona mapigano na woteidadi wengineyao walikufa au bila uwezoilipungua kutokana na magonjwa pekee.<ref>Falls, Cyril. The Great War. New York: Capricorn Books. 1961, p. 253</ref>
 
Kinyume chake Lettow Vorbeck aliwategemea hasa askari Waafrika waliokuwa na mahitaji madogo waliojua nchi na kuzoea magonjwa ya mazingira. Waingereza walitumia askari Waafrika hasa kwa kulinda reli ya Uganda kwa sababu mwanzoni walikosa imani katika uwezo wao.
Line 32 ⟶ 33:
Tangu mwaka 1917 Waingereza walipunguza idadi ya Wazungu na Wahindi badala yake waliunda vikosi vipya vya Waafrika vya [[King's African Rifles]] waliokuwa na uwezo wa kushindana na Waafrika wa Lettow Vorbeck.
 
Walifaulu kusukuma jeshi la Schutztruppe kusini zaidi. Katika Oktoba 1917 waliwalazimisha Wajerumani kusimama kwenye mapigano ya [[Mahiwa]] ambako Lettow Vorbeck aliwashinda lakini alipoteza askari mamia. Pia akiba yake ya risasi ilielekea kwisha. Kikosi kikubwa cha askari 1000 chini ya kapteni Tafel walilazimishwa kusalimisha amri baada ya kuishiwa chakula na risasi kabisa. Hata kama hakushindwa, Lettow Vorbeck hakuweza kuendelea vile akaamua kuondoka katika Tanganyika na kwenda Msumbiji alipotegemea Wareno kuwa adui mdhaifu.
 
==Awamu ya nne: Msumbiji na mwisho==
Mwisho wa Novemba 1917 Lettow aliwaacha wajeruhiwa na sehemu kubwa ya Wajerumani raia walioongozana naye nyuma akavuka mto Rovuma na askari 280 Wajerumani na Waafrika 1600.
 
Katika Msumbiji aliweza kuteka kambi ya kijeshi ya Wareno alipokamata bunduki na risasarisasi pamoja na chakula. Waingereza walijaribu kumfuata laini walishindwa kumkuta katika Msumbiji. Katika miezi ya 1918 iliyofuata Lettow Vorbeck alizunguka katika Msumbiji ya kaskazini, mara nyingi kwa umbali wa matembezi ya siku 2 au tatu na Waingereza na Wareno waliomtafuta bila kumpata. Alivamia vituo mbalimbali vya Wareno na kupata risasi na vyakula mara kwa mara.
[[Picha:Lettow's surrender.jpg|thumb|250px|Jeshi la Kijerumani ilivyosalimisha amri 1918 (uchoraji wa siku zile)]]
Katika Septemba 1918 alipata habari ya kwamba Waingereza walikuwa nyuma yake kwa jeshi kubwa. Hapa aliamua kurudi Tanganyika na kuelekea Rhodesia kwa sababu habari zilimfikia ya kwamba WaingereaWaingereza hawakuwa tena na jeshi huko. Tarehe 28 Septemba alivuka tena [[mto Rovuma]] akaendelea katika sehemu za kusini kupitia Songea na Mbozi. Mwezi wa Novemba aliingia Rhodesia ya Kaskazini (Zambia). Tarehe 13 Novemba kikosi chake kiliteka mji wa [[Kasama]] ambako Waingereza wachache walikimbia walpomwonawalipomwona. Siku iliyofuata afisa Mwingereza alikaribia kambi yake na kumletea habari ya kwamba vita ilikwisha tayari na Ujerumani iliwahi kusimamisha mapigano yote tangu 11 Novemba 1918. Lettow alipatana na Waingereza kuongoza askari hadi mji wa Abercorn (leo [[Mbala, Zambia]]) aliposalimisha amri tarehe 23 Novemba 1918.
 
==Tanbihi==