Dalufnin (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 5:
 
==Mahali pake==
Dalufnin inapakainapakana na kundinyota jirani za [[Mbweha (kundinyota)|Mbweha]] ''([[:en:Vulpecula (constellation)|Vulpecula]])'', [[Sagita (kundinyota)|Sagita]] ''([[:en:Sagitta (constellation)|Sagitta]])'', [[Ukabu (kundinyota)|Ukabu]] ''([[:en:Aquila (constellation)|Aquila]])'', [[Dalu (kundinyota)|Dalu (Ndoo)]] ''([[:en:Aquarius (constellation)|Aquarius]])'', [[Mwanafarasi (kundinyota)|Mwanafarasi]] ''([[:en:Equuleus (constellation)|Equuleus]])'' na [[Farasi (kundinyota)|Farasi]] ''([[:en:Pegasus (constellation)|Pegasus]])''.
 
==Jina==
Mstari 14:
[[Wagiriki wa Kale]] waliwatazama akina pomboo kama wasaidizi wa mabaharia<ref>Kuna hadithi nyingi kuhusu pomboo waliosaidia mabaharia walioanguka baharini na kuwabeba hadi mwambao, ling. Allen uk. 200</ref> na viumbe watakatifu kwa miungu kama Poseidon (mungi wa bahari). Kutokana haopa kuna hadithi mbalimbali katika [[mitholojia ya Kigiriki]] waliotekeleza shughuli kwa niaba ya miungu yao. <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 199</ref>
 
Delphinus - Dalufnin ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwaya na [[Umoja wa kimataifaKimataifa wa astronomiaAstronomia]] kwa jina la Delphinus. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[UkiaUKIA]] ni 'Del'. <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
==Nyota==