Yuri Gagarin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Yuri Gagarin in 1963.jpg|thumb|right|Yuri Gagarin]]
 
'''Yuri Alexeyevich Gagarin''' ([[Kirusi]] ''Юрий Алексеевич Гагарин''), alizaliwa tarehe [[9 Machi]] [[1934]] huko [[Klushino]] karibu na [[Smolensk]], [[Urusi]]; alifariki tarehe [[27 Machi]] [[1968]]. Alikuwa [[mwanaanga]] wa kwanza katika historia yaani mtu wa kwanza aliyefika kwenye [[anga la Anga-nje]].
 
Alimwoa Valentina Goryachova akawa na mabinti wawili ambao ni Galina na Yelena. Akajiunga na Jeshi la Anga laya Urusi mwaka 1955.
 
Mwaka 1960 aliteuliwa katika kikosi cha kwanza cha marubani walioandaliwa kurushwa kwa anga la nje akateuliwa kuwa mtu wa kwanza wa kutoka duniani.
Mstari 18:
[[Jamii:Watu wa Urusi]]
[[Jamii:Wanaanga]]
{{wikinyota}}