Jabari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
 
==Nyota==
Jabari ni kati ya makundinyota yanayoonekana vema kwenye anga laya [[usiku]] [[kusini]] na pia [[kaskazini]] mwa Dunia. Nyota [[Saba (namba)|saba]] angavu sana zinakumbukwa kirahisi na watazamaji wa anga.
 
Nyota [[nne]] za [[Rijili ya Jabari]] (Rigel), [[Ibuti la Jauza]] (Betelgeuse), Bellatrix and Saiph zinafanya [[pembenne]], na katikati kuna safu ya nyota [[tatu]] za karibu zinazoitwa "ukanda" ambazo ni Alnitak, Alnilam na Mintaka (ζ, ε na δ Orionis). Chini ya nyota za ukanda kuna nyota angavu inayotambuliwa kwa [[darubini]] ndogo kuwa [[nebula]] angavu, hii ni [[Nebula ya Jabari]] (Orion nebula).