Tofauti kati ya marekesbisho "Nzi (kundinyota)"

18 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
Nzi ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka Dunia yote katika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. Haikujulikani kwa Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]].
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] De Vlieghe ([[Nzi]]) lililotajwa baadaye kwa jina la ''Kilatini'' "Musca“. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya [[Johann Bayer]] aliyetumia njia ya "Apis" (nyuki) na hivyo kuna vitabu vya zamani vinavyotumia jina Apis lakini baadaye "Musca" ilirudishwa.
 
Leo Musca ipo pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Mus'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
[[Category:Kundinyota]]
{{wikinyota}}