Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
  • wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER

  • post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages.

As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Ndugu, ulibadilisha nyota kadhaa kutoka ngeli ya "i-zi" kwenda "li-ma" ambayo si Kiswahili sahihi. Mfano "Sigma Octantis iko karibu" ulipeleka "Sigma Octantis liko karibu". Nimerudisha mara kadhaa sijapata muda kuangalia yote. Ilhali wewe bado mgeni heri utumie kwanza ukurasa wa majadiliano kabla ya kubadilisha! Kipala (majadiliano) 14:05, 20 Julai 2019 (UTC)

Ndugu, hongera kwa michango yako. Hata hivyo angalia nilivyoboresha namna moja michango ya mwisho ili ufanye mwenyewe katika makala zijazo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:59, 6 Novemba 2019 (UTC)
Naona unazidi kukamilika. Sasa uzoee kuunganisha ukurasa wa Kiswahili na zile za lugha nyingine. Kiungo kinapatikana pembeni kushoto, ilipoandikwa "Add link". --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:29, 11 Novemba 2019 (UTC)

InterwikiEdit

Asante kwa makala za wanariadha. Lakini naomba upitilie tena zote. Umesahau "interwiki", yaani kuunganisha makala yako na lugha zingine. Hii unafanya mwishoni -kama mada ina makala katika enwiki au wikipedia nyingine- kwa kubofya kushoto-chini (nje ya sehemu ya kuhariri) kwa "Lugha- Add links", halafu ingiza "enwiki" dirisha la juu na jina la makala husika dirisha la chini, hakikisha ni sawa, halafu uthibitishe. 197.250.225.2 20:43, 7 Desemba 2019 (UTC)

Mashindano ya pichaEdit

Ndugu, usijidanganye kwamba utashinda tuzo kwa kubadilisha maneno ya kuelezea picha zilizomo tayari katika makala za Wikipedia... Ni lazima uongeze picha pale ambapo hazipo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:02, 15 Agosti 2020 (UTC)

Ndugu Riccardo Riccioni, mimi sishiriki katika mashindano ila najaribu kuangalia sehemu ambazo washiriki wa mashindano wamefanya nakujaribu kuongeza ubora na kusahihisha sehemu ambazo naona zinaweza zikawa bora zaidi. Je ni vibaya kufanya hivi? Amani kwako pia! Nashukuru sana.
Hiyo si mbaya, lakini kama ni hivyo hutakiwi kuandika katika muhtasari #WPWP #WPWPTZ, la sivyo unaonekana tapeli... Basi, endelea na juhudi zako. Tupo pamoja. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:25, 15 Agosti 2020 (UTC)
Asante

Uteuzi kuwa mkabidhiEdit

Salaam! Ulipendekezwa na kukubaliwa kupata haki za mkabidhi. Je, uko tayari kupokea uteuzi huu na kushiriki katika kazi mara kwa mara kama jinsi ilivyoelezwa katika ukurasa wa wakabidhi? Tunaomba jibu lako kwa baruapepe katika wiki hii. Tumia zana za Wikipedia kutuma barua pepe. --'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 07:44, 13 Septemba 2020 (UTC)

HongeraEdit

Napenda kukupongeza kwa juhudi zako katika Wikipedia, ila hakikisha kwamba makala zako zieleweke kwa Kiswahili. Unavyojua, tafsiri ya kompyuta haisaidii sana. Endelea kuangalia kama pengine ninarekebisha michango yako ili uzidi kukomaa. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:36, 16 Aprili 2021 (UTC)

Asante sana --Ebenezer Mlay (majadiliano) 12:07, 16 Aprili 2021 (UTC)

MbeguEdit

Ndugu, kigezo mbegu-mtu kinatumika ikiwa tu hakuna kingine cha pekee zaidi kama mbegu-mwandishi, mbegu-igiza-filamu n.k. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:09, 18 Aprili 2021 (UTC)

Asante kwa kunielewesha. --CaliBen (majadiliano) 06:24, 19 Aprili 2021 (UTC)

ZuioEdit

Umefanya vizuri, kwa kuwa amefuta matini sahihi na ameingiza upuuzi wa Kiingereza: yote hayo ni makosa makubwa! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:46, 19 Aprili 2021 (UTC)

Kigezo cha VyanzoEdit

Siku hizi unaweka mara nyingi kigezo hicho. Badala ya kuridhika kuweka vigezo vinavyoagiza kazi fulani, tunashauriwa kufanya wenyewe kazi hiyo, yaani tuboreshe makala, si kuilaumu tu. Pia zingatia kwamba makala nyingi za zamani hazina vyanzo kwa sababu ya kutovisisitiza mwanzoni mwa Wiki yetu. Hatimaye makala nyingine haziwezi kuwa ndefu wala kuwa na vyanzo vingi kutokana na mada yenyewe. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:36, 21 Aprili 2021 (UTC)

Mpendwa Riccardo Riccioni asante sana kwa muongozo huu, mara nyingi nikiwa nina muda mchache wa kupitia makala baadhi nikikuta hazina vyanzo vya kutosha naweka kigezo cha vyanzo. Ila nikiwa na muda najaribu kupitia makala na kuifanya iwe bora. Nina mpango nikipata muda mwingi zaidi kuzipitia zote ambazo nimeziwekea kigezo hicho. Je ni sawa? Je naweza nikaweka kigezo cha citation needed badala ya kigezo cha vyanzo? Asante CaliBen (majadiliano)
Kama lengo ni kuzipitia baadaye ni sawa kabisa. La sivyo njia ya pili ni afadhali. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:14, 23 Aprili 2021 (UTC)

JamiiEdit

Habari naona unafaya kazi kubwa kupitilia jamii za makala. Asante! NImeona jambo moja ambalo halisaidii machoni pangu., ukiongeza "Jamii:Watu wa NCHIXX" pia pale ambako makala imeshapangwa katika "Jamii:Wanawake wa NCHIXXX". Unaona faida gani? Mi mi naona si kitu kwa nchi penye watu wachache walio na makala, lakini kama idadi yao inaongezeka, haisaidii tena ninavyoona. Mfano kama watu wa TZ wako wote chini "watu wa Tanzania", tuanapata hapa orodha ndefu kupita kiasi ambacho halivuti kulipitilia. Tukiwapanga zaidi katika jamii ndogo, ni rahisi zaidi kutafuta. Kutafuta jina, linapatikana popote kupitia dirisha. Unaonaje? Kipala (majadiliano) 06:40, 28 Aprili 2021 (UTC)

Habari Kipala, Asante kwa mchango huu naona inaleta maana, ila vipi kama kungekua jamii ndogo ya "Jamii:Wanaume wa NCHI XXX" kwa sababu kama kwenye jamii ya watu wa nchi fulani kukawa na makala ya wanaume tu halafu kukawa na jamii ndogo ya wanawake pekee hii naona haileti picha nzuri kwangu. Unaonaje? --CaliBen (majadiliano) 06:51, 28 Aprili 2021 (UTC)
Hiyo hoja ina mashiko: kuwa na jamii kwa wanawake, si kwa wanaume, ni kutokana na hali ya wanawake kukosa usawa. Lakini siku hizi? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:42, 28 Aprili 2021 (UTC)
Kwa kawaida naona vema kama mtu anapangwa kwanza katika jamii ya fani au kazi , kama "Jamii:Wanasheria wa NCHI XXX", tukiwa na wengi inawezakana pia "Jamii:Watu kutoka MKOA YYY"; kwa wanawake tumeanzisha pia jamii kama "Wanawaka wa NCHI XXX" au "Wanasheria wa kike wa XXX". Hapa tumefuata mfano wa lugha nyingine; sijui kama yeyote alianzisha jamii za wanaume. Tunaweza kufanya.... - Sababu ya jamii ya pekee kwa wanawake ni kwamba hao ni wachache (bado) katika fani nyingi.Kwa hiyo sipingi kuanzisha jamii za wanaume, ila sitegemei italeta mafanikio. Tulikuwa na wahariri (nadhani Baba Tabita) aliyeongeza mara nyingi "Watu walio hai" (ambayo mimi sioni faida yake, siku hizi sijaiona tena sana...). Kipala (majadiliano) 15:29, 30 Aprili 2021 (UTC)

Pregs GovenderEdit

Naona tumeingiliana. Nilikuwa nikiongeza kufungu cha mwisho, naona umehamisha yote kwenda lemma sahihi, asante. Hivyo nilifungua makala kwa jina jipya na kumwaga mle matini yote kutoka ukurasa wangu, pamoja na yale niyokuwa nayo ya juu. Ila sikujua kwamba ulihariri mengine pia. Sasa inawezekana nimeweka matini yangu juu ya sehemu ulizoboresha, kama ni vile, nisamehe. Tafadhali pitilia tena kifupi na uone kama nimefuta maboresho kadhaa. Kipala (majadiliano) 09:39, 6 Mei 2021 (UTC)

Hakuna shida kabisa nitaipitia makala hiyo tena. Asante --CaliBen (majadiliano) 10:33, 6 Mei 2021 (UTC)

Tafsiri ya WikimediaEdit

Naona umemuuliza Kipala pia. Tupo pamoja. Mimi sipendi kutumia kifaa hicho, ila nakubali kinaweza kusaidia ikiwa watumiaji wanachukua muda kupitia kwa makini tafsiri ya mashine hadi ieleweke. Shida kubwa ni kwamba wanataka makala ndefu, halafu wanachoka kuipitia, hivyo wanatuachia sisi kazi kubwa mno! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:03, 17 Mei 2021 (UTC)

Kwa kweli naona unafuatilia masahihisho yangu na kujifunza vizuri. Pia nakupongeza kwa juhudi za kueneza Wiki yetu. Michango sasa ni mingi, kiasi kwamba sitaweza tena kuipitia yote, hasa ukizingatia kwamba watumiaji wapya wanafanya makosa mengi. Tena kwa kutumia tafsiri ya kompyuta wanatunga kurasa ndefu. Kazi hiyo nakuachieni nyinyi vijana... Ndiyo sababu tuliwachagua kuwa wakabidhi wenzetu! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:42, 29 Mei 2021 (UTC)
Asante sana Riccardo Riccioni. Makala zote zilizoundwa hivi karibuni na wahariri wapy kutokea Arusha tutazipitia kwa takribani siku mbili tukiwa pamoja na wahariri hawa wote ili kufanya masahihisho. Kwa kutumia hii njia nadhani wahariri hawa watajifunza kutokana na makosa amabayo wameyafanya kwenye makala hizi. Pia tutajitahidi kuwa watumiaji wote wapya hawatopata nafasi ya kutunga makala ndefu wakati wanaanza kujifunza kuandika. Vivyo hivyo tutatilia msistizo wa kutokutumia tafsiri ya kompyuta katika kuhariri. Asante -- --CaliBen (majadiliano) 08:33, 31 Mei 2021 (UTC)
Vizuri sana. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:57, 31 Mei 2021 (UTC)

How to supply my emailEdit

I am a local researcher, and I have written about handful of communities whose details and not found in Wikipedia. I love to supply this first-hand information in Wikipedia. Thank you for welcoming me. Please I want to know also, how I can supply my email. More so, is their chances for monetization? Hilspress (majadiliano) 07:39, 30 Mei 2021 (UTC)

Makala ya Haki za BinadamuEdit

Salamu, sijajua ufafanuzi unasemaj zaidi e hadi sasa kuhusu shindano la makala ya haki za binadamu, lakini unaweza kupitia makala ya Mauaji ya Maalbino, labda inawezekana jamii hiyo ni kwa ajili ya kutrack makala zote mpya zitakazohusu haki za binadamu, naona imeunganishwa katika jamii ya Makala ya haki za binadamu,ila bado nasubiri ufafanuzi zaidi ,Asante Idd ninga (majadiliano)

Habari Idd ninga, nadhani niliona maelekezo ya kwamba mtu yoyote anaeshiriki katika hili shindano akichapisha kurasa yoyote kuhusiana na haki za binadamu inapaswa kuweka hiyo jamii. Katika makala ya Mauaji ya Maalbino jamii hii haikuwepo hivyo nikaona niiongeze. Ila Czeus25 Masele anaweza kutupa mwonggozo zaidi. Amani kwako! --CaliBen (majadiliano) 06:40, 3 Juni 2021 (UTC)
Ahsanteni kwa michango, tumeweka jamii hiyo ili kurahisisha kupata makala zote zitakazo andikwa wakati wa mradi. Maelekezo zaidi juu ya ushiriki wa mradi yatatolewa hivi karibuni na user:Jadnapac. Karibuni tuendeleee kushirikiana.

Campaigns Product Update #1Edit

Hello Campaigns Newsletter recipients. We are ready to share our first updates:

What is next? At the office hours, we will share our first version of the designs for the Registration feature, and be asking for feedback. Additionally we will be onboarding our engineering team who will be building the registration feature.

Please invite  other organizers to subscribe to this newsletter or unsubscribe at: https://meta.wikimedia.org/wiki/Campaigns/Foundation_Product_Team/Subscribers  

The Campaign Product Team

Campaigns Product Update #2Edit

Hello Campaigns Product Newsletter subscribers! We are excited to share our updates:

  • Request for Feedback: We have shared our project principles, wireframes for the desktop version, and open questions for you about the team’s event registration project. See the latest status updates here.
Wireframes are design tools that imagine the future interface of the software. We haven’t built anything yet. We need your feedback on these designs so that we can make better product decisions. You can give feedback on the talk page regarding the design and features of the wireframes. We would love to hear your comments to help us establish the next necessary steps for the project.
Please share with us your feedback!
  • Presentations: The Campaign Product team participated in WikiArabia 2021 and WikiConference North America 2021 to give a brief introduction on how the team works. Senior Program Strategist Alex Stinson gave an overview about campaigns and how we can scale the organizing experience within the Movement. Senior Product Manager Ilana Fried gave an introduction about the Product Team and the project wireframes of the first campaign software solution: the on-wiki registration tool. View the recorded presentation here.
  • Team update: We have hired our first team engineer, JCarvalho and our campaign organizing fellow, IBrazal. Newsletter updates will be done by IBrazal and she will be coordinating with you! We hope to have the rest of the engineering team onboard soon! For those of who missed the last Campaign Office Hour, you may watch the recording to know more about the Campaign Product Team.

What is next?

Testers Needed! We will be partnering with YUX, a design research agency, to learn how our team can improve the experience of Wikimedia campaign organizers and participants in Africa. For this reason, we are looking for community members who are willing to be part of the rapid testing sessions. Preferably, we want organizers and editors who have worked in an African context. If you would like to participate in testing, please email Kigezo:Email.
Upcoming Conferences. Wiki Indaba 2021. This year, the conference will be held virtually on November 5-7, 2021 with the theme "Rethink + Reset : Visions of the future". Read more about the conference here or register to join the event. We will be presenting the registration features on Sunday November 7.
We will also be attending Wikimedia CEE Online Meeting 2021, which will be held virtually again this year on November 5-7, 2021. We will be presenting the registration tool on November 6 as part of our communication and sharing process.
Translation Support. We are also beginning to translate the updates on Registration. If you think your language community would benefit from updates, please translate here.


Invite other organizers to subscribe to this newsletter for updates!


The Campaign Product Team

MediaWiki message delivery (majadiliano) 16:26, 28 Oktoba 2021 (UTC)