Almagesti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
==Jina==
Ptolemaio alitumia jina la Kigiriki μαθηματικὴ σύνταξις ''mathematike sintaksis'' (hitimisho ya elimu, kutoka σύνταξις sintaxis''sintaksis'' (hitimisho) na μαθηματικός ''mathematikos'' (kuhusu elimu)). Nakala za baadaye ziliitwa "megiste sintaksis" kwa maana ya "hitimisho kuu" na nakala hizi zilikuwa msingi wa tafsiri kwa Kiarabu ambako neno la Kigiriki "megiste" lilandikwa kwa herufi za kiarabu kama <big>المجستى</big> ''al-majisti'' iliyokuwa "Al-magest" katika tafsiri za baadaye kwa [[Kilatini]].
 
==Yaliyomo==
Mstari 16:
*Vitabu 4 + 5: Kuhusu mwendo wa Mwezi, paralaksi yake, ukubwa na umbali kati ya Dunia, Jua na Mwezi
*Kitabu 6: Kuhusu [[kupatwa kwa Jua]] na [[kupatwa kwa Mwezi]]
*Vitabu 7 + 8: MiendoMienendo ya nyota, orodha ya kundinyota na nyota; humo alianzisha utaratibu wa kupanga nyota kufuatana na [[mwangaza unaoonekana]], akitofautisha ngazi 6 za mwangaza
*Vitabu 9–13: vinajadili miendomienendo ya sayari alizojua yaani zile zinazoonekana kwa macho matupu yaani [[Utaridi]] (Mercury), [[Zuhura]] (Venus), [[Mirihi]] (Mars), [[Mshtarii]] (Jupiter) na [[Zohali]] (Saturn)
 
Katika Almagesti Ptolemaio alitaja [[kundinyota]] 48 ambazo ni msingi wa kundinyota 88 za kisasa. Pamoja na kundinyota aliorodhesha nyota 1020 na kwa kila nyota aliongeza vipimo vilivyowezesha wasomaji wake kukuta kila nyota kwenye anga.<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/almagest.htm Ptolemy’s Almagest], tovuti ya Ian Ridpath "Star Tales", iliangaliwa Disemba 2017</ref> Leo hii watafiti huamini ya kwamba Ptolemaio mwenyewe alitumia orodha iliyowahi kutungwa miaka 300 kabla yake na [[Hipparchos wa Nikaia|Hipparchos]] pamoja na vipimo vyake. <ref>[http://dioi.org/vols/wc0.pdf Pickering, The Southern Limits of the Ancient Star Catalog and the Commentary of Hipparchos], The International Journal of Scientific History, Vol. 12 2002 Sept ISSN 1041›5440, </ref>
Mstari 26:
Katika karne ya 15 Waturuki walivamia mabaki ya [[ufalme wa Byzanti]] na hapo wataalamu wengi wa huko walikimbilia Ulaya ya magharibi wakibeba pia vitabu vya zamani. Hapo nakala za kitabu asilia cha Ptolemaio ilifika Italia ikatafsiriwa kutoka Kigiriki kwa Kilatini na kuboresha matoleo yaliyopatikana katika Ulaya.
 
Umuhimu wa Ptolemaio ulipungua haraka tangu ugunduzi wa darubini ulioleta mlipuko wa elimu ya astronomia. Mfumo wake wa ulimwengu ulitambuliwa kuwa na kosa la kimsingi katika kitabu "De Revolutionibus“ cha [[Nicolaus Copernicus]] aliyetambua ya kwamba Dunia si kitovu cha ulimwengu bali Dunia pamoja na sayari zinazunguka Jua. Hii ilithebitishwailithibitishwa baadaye na [[Galileo Galilei]] na [[Johannes Kepler]].
 
Hata hivyo orodha ya kundinyota 48 ya Ptolemaio katika Almagesti imepokelewa katika orodha rasmi ya kundinyota 88 iliyotolewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] na kuwa msingi wake.