Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho madogo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Andromeda galaxy.jpg|thumb|300px|Galaksi ya Andromeda yenye na. M 31 na galaksi mbili ndogo za kando M 32 na M 110]]
 
'''Galaksi''' ([[ing.]] ''galaxy'') ni [[kundi]] la [[nyota]] nyingi zinazoshikamana pamoja katika [[anga laya ulimwengu]] kutokana na [[graviti]] yao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama ma[[wingu]] makubwa sana.
 
Kuna galaksi nyingi sana [[ulimwengu]]ni. Kwa [[wastani]] kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama [[bilioni]] 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
Mstari 17:
==Marejeo==
<references/>
{{wikinyota}}
 
[[Jamii:Astronomia]]
[[jamii:galaksi|*]]