Majadiliano ya mtumiaji:Johnny 10 : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
(→‎Sherehe!!!: mjadala mpya)
No edit summary
 
Angalia hatua aliyoifikisha [[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Ndugu Riccardo]]: [[Wikipedia:Matukio_ya_hivi_karibuni#40,000|Matukio ya hivi karibuni]]. Sherehe!!! --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 10:09, 17 Machi 2018 (UTC)
 
==Interwiki==
Asante kwa michango yako kuhusu wachezaji kinanda. Unasahau kitu kimoja: Interwiki. Hii ni kuweka viungo kwa makala za lugha nyingine kuhusu mada ileile. Nfano nenda [[Kingsley Coman]], angalia kwenye PC dirishani chini kabisa upande wa kushoto. Utaona "Lugha" na chini yake "Add links". Bofya hapa utaona sanduku "Link with page". Ingiza hapa "enwiki", thibitisha na kwa "page" rudia jina la makala (au la makala uliyotafsiri), thibitisha yote. Sasa utaona orodha ya lugha zenye viungo kwednda makala za lugha nyingine. Ni msaada mkubwa kama msomaji anataka kusoma maelezo zaid kwa Kiingereza na kadhalika. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 07:01, 28 Novemba 2018 (UTC)