Msaada:Interwiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Katika ukurasa unaosoma sasa hivi orodha ipo upande wa kushoto nje ya makala chini ya "Lugha zingine". Hapa utaona Deutsch, English, فارسی , Français na kadhalika. Zote ni rangi ya buluu maana ni viungo kwenda kurasa za "Mwongozo wa wikipedia" (Help:Interlanguage links) kwa lugha hizi.

Ukianzisha makala mpya na kuihifadhi utaona bado hakuna majina ya lugha kwa angi za buluu.
Ukianzisha makala mpya na kuihifadhi utaona hakuna majina ya lugha buluu bado. Bofya "Add links" utaona dirisha dogo. Humo unaandika juu "enwiki" na kuthibitisha, chini yake unaandika jina la makala husika katika Wikipedia ya Kiingereza. Thibitisha tena na sasa makala yako ya Kiswahili imeunganishwa na namba ya mada yake katika orodha "Wikidata" inayoorodhesha makala za Wikipedia zote. Sasa itaonyesha lugha nyingine kwa rangi ya buluu na makala yetu ya Kiswahili inaonekana pia kwa wasomaji wa lugha nyingine. Hii ni msaada mkubwa kwa wahariri wanaoweza kusoma lugha mbalimbali na kuongeza habari kutoka huko.
* angalia kwenye dirisha la PC chini kabisa upande wa kushoto.
* Utaona "Lugha" na chini yake "Add links".
* Bofya "add links"
* Utaona sanduku "Link with page".
* Ingiza hapa "enwiki", thibitisha
* kwenye sehemu ya "page" andika jina la makala (au la makala uliyotafsiri), thibitisha yote, na tena.

Sasa utaona orodha ya lugha zenye viungo kwenda makala za lugha nyingine. Ni msaada mkubwa kama msomaji anataka kusoma maelezo zaid kwa Kiingereza na kadhalika. Ni msaada pia kwa wahariri wanaosoma lugha hizi wakitafuta habari za nyongeza.

'''Jaribu ulichojifunza katika [[/sanduku la mchanga/]]'''

'''Soma zaidi katika [[Wikipedia:Mwongozo Mwongozo_(Kutaja vyanzoViungo_vya_Wikipedia)]] →