Majiranukta ya kijiografia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:This is a basic photo showing that latitude lines are horizontal and longitude lines are vertical- 2014-07-25 20-36.jpg|350px|thumb|Maelezo ya latitudilatitudo na longitudilongitudo.]]
'''Anwani ya kijiografia''' (pia '''majiranukta ya kijiografia''', '''viwianishi''', kwa [[ing.Kiingereza]] [[:en:coordinates|coordinates]]) ni namna ya kutaja mahali [[duniani]]. Anwani ya kijiografia huelezwa kwa kutaja [[longitudo]] na [[latitudo]] za mahali fulani.
 
[[Dunia]] hugawiwa katika [[gredi]] 360 za longitudo na gredi 180 za latitudo (90[[°]] za [[kaskazini]] na 90° za [[kusini]]).
 
Latitudo za kaskazini na kusini yakwa [[ikweta]] zinatofautishwa ama kwa kuongeza [[herufi]] "N" (=north au kaskazini) na "S" (south au kusini) au kwa [[alama]] za "+" (kaskazini) na "-" (kusini).
 
Gredi za longitudo zinaanza kuhesabiwa kwenye [[meridiani]] ya 0° iliyokubaliwa ni [[mstari]] kutoka [[ncha ya kaskazini]] hadi [[ncha ya kusini]] unaopita katika [[mji]] wa [[Greenwich]] (karibu na [[London]], /[[mji mkuu]] wa [[Uingereza]]).
 
Kwa mfano, anwani ya National Theater mjini [[Accra]] ([[Ghana]]) ni: 5°33'14"N (latitudo) na 0°12'2"W (longitudo).
Anwani inaandikwa mara nyingi pia kwa njia ya [[desimali]] pia na hapa inawezekana kutaja mahali kimakinifukikakilifu zaidi. Hapo viwianishi vya [[Ikulu]] mjini[[Jiji|jijini]] [[Dar es Salaam]] ni: -6.815592,39.298204.
 
==Matumizi ya anwani ya kijiografia kwenye wikipedia==
Wahariri wengi wanaongeza anwani ya kijiografia katika makala zinazohusu miji, [[kata]], [[Jengo|majengo]] au mahali pengine. Katika [[wikipedia]] hii tunaweza kutumia [[kigezo:coord]]. Inatosha kunakili mfano kutoka ukurasa wa kigezo hiki na kubadilisha [[tarakimu]] zilizopo kwa [[namba]] zinazopatikana kwa kutumia [[Google Earth]] au [[ramani]] nyingine inayoturuhusuinayotuhusu kuona anwani ya kijiografia.
 
{{mbegu-jio}}