Halmashauri : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Halmashauri''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni kikundi cha [[watu]] ambao wamechaguliwa au kuteuliwa wafanye [[kazi]] ya kuongoza, kutawala, kutunga [[sheria]], kushauri na kuelekeza mambo.
Pia ni chombo cha kiutawala chenye [[mamlaka]] kiasi fulani kuendesha shughuli za kiutawala za eneo husika kama vile [[wilaya]] au [[mji]].<ref>
==Tanbihi==
|