Uwezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'tunaweza kuendelea kwa namna hii :kwanza nijitambulishe , jina langu ni mch.baraka mambo ni mtanzania .napenda leo kuzungumzi neno "uwezo" neno hili limegawanyi...'
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Uwezo''' ni neno ambalo limegawanyika:
tunaweza kuendelea kwa namna hii :kwanza nijitambulishe , jina langu ni mch.baraka mambo ni mtanzania .napenda leo kuzungumzi neno "uwezo" neno hili limegawanyika 1) uwezo ni kuwa na nguvu ,2) kuwa na mali , 3) kuwa na nguvu ya kufanya jambo ,4) darasani kuwa na ufahamu wa kuelewa masomo, 5) ni kipawa binafsi anaweza akawa nayo mwingine , na mwingine asiwe nayo.6) mamlaka ya kufanikisha mambo.kuna baadhi ya watu wanapenda kwenda jeshini wakielezwa hali ya huko lakini wengine hawataki hata kusikia.pia ni kupenda kufanya kwa hiari.vita ya mwaka 1978 idd amini wa uganda alitaka kuteka baadhi ya maeneo ya tanzania .kuna watu wenye kuipenda nchi yao walijitoa kwa hali na mali wakaikomboa nchi yetu ,amina hakuwa na uwezo tena akakimbilia libya.
# uwezo ni kuwa na nguvu
# kuwa na mali
# kuwa na nguvu ya kufanya jambo
# darasani kuwa na ufahamu wa kuelewa masomo
# ni kipawa binafsi anaweza akawa nayo mwingine, na mwingine asiwe nayo
tunaweza kuendelea kwa namna hii :kwanza nijitambulishe , jina langu ni mch.baraka mambo ni mtanzania .napenda leo kuzungumzi neno "uwezo" neno hili limegawanyika 1) uwezo ni kuwa na nguvu ,2) kuwa na mali , 3) kuwa na nguvu ya kufanya jambo ,4) darasani kuwa na ufahamu wa kuelewa masomo, 5) ni kipawa binafsi anaweza akawa nayo mwingine , na mwingine asiwe nayo.6)# mamlaka ya kufanikisha mambo.kuna Kuna baadhi ya watu wanapenda kwenda jeshini wakielezwa hali ya huko lakini wengine hawataki hata kusikia.pia Pia ni kupenda kufanya kwa hiari.vita yaVita vya mwaka 1978 Idd idd aminiAmini wa ugandaUganda alitaka kuteka baadhi ya maeneo ya tanzania Tanzania.kuna Kuna watu wenye kuipenda nchi yao walijitoa kwa hali na mali wakaikomboa nchi yetu: ,aminaAmini hakuwa na uwezo tena akakimbilia libyaLibya.
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Elimu jamii]]