Kwa jina ni Baraka mambo toka Tanzania nimeamua kuanzisha kurasa mbili :- Neno na Mafunzo.com kwa makusudi ya kufikisha habari na elimu maeneo mbali mbali ndani na nje ya nchi , kutoa ushauri na kupokea toka kwenye jamii mbali mbali duniani.

 wakati huu nawaletea simulizi kwa lugha kiswahili :zamani za kale kulikuwa na bibi kizee ambaye aliishi pekee yake,wakati ule hapakuwa na uadui baina ya binadamu na wanyama.pamoja na hivyo yule bibi hakuwa na uwezo wa kujilisha yeye pamoja na wageni ,basi kwa huyo bibi kizee walikuja wanyama pamoja na wadudu wakiimba nyimbo zao wakiomba hifadhi walipopokelewa walifanya vizuri lakini kati wanyama pamoja na wadudu waliopokelewa :mfano nyuki alileta asali na wanyama wengine walifanya vizuri mno kwa bibi kizee ,lakini fisi kila akienda mawindoni akipata nyama anakula steki na kuleta mifupa akiimba kikwao "mbamu mbamu holela ahoriikufaa,mbamu mbamu holela ahoriikufaa yiiu nkwatsia " lakini kila arudipo nyumbani  huhitaji vinono vya wanyama na wadudu wengine.inaendele ...