Umoja wa Mataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 12:
[[Lugha rasmi]] za UM ni [[sita]]: [[Kiarabu]], [[Kichina]], [[Kifaransa]], [[Kihispania]], [[Kiingereza]] na [[Kirusi]].
 
[[Katibu Mkuu wa UM]] anachaguliwa kwa miaka mitano; kwa sasa ni [[António Guterres]] kutoka [[Ureno]], aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu mwaka [[2016]] akichukua nafasi ya [[Ban Ki-moon]].
 
== Muundo wa UM ==