Umemenuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa umeelekezwa kwenda Umeme-mwanga
Tag: New redirect
 
Removed redirect to Umeme-mwanga
Tag: Removed redirect
Mstari 1:
'''Umemenuru''' (pia: '''umeme-mwanga''', '''fotovoltaiki''', ing. ''photovoltaics, photoelectricity'') ni [[umeme]] unaopatikana kutokana na nishati ya [[nuru]] hasa au kwa jumla kila aina ya [[mnururisho wa sumakuumeme]]. Badiliko hili linatokea katika seli zinazojulikana mara nyingi kama [[seli za sola]]. Seli ya umemenuru inatoa mkondo wa takriban nusu [[volti]].
#REDIRECT [[umeme-mwanga]]
 
Nishati ya nuru ikikuta [[semikonda|mata yenye tabia ya nusukipitishi (semikonda)]] inasababisha mwendo wa elektroni ndani yake. Nuru inaundwa na vipande vidogo vinavyoitwa [[fotoni]]. Nishati ya fotoni ikigonga [[elektroni]] inaweza kuiondoa katika nafasi yake kwenye [[mzingo elektroni]] na kusababisha kutokea kwa [[mkondo wa umeme]].
 
Matumizi ya umemenuru yanapatikana katika [[umemejua|teknolojia ya umemejua]] kwa uzalishaji wa umeme, lakini pia kwa [[vihisio]] ''(sensor)'' vya aina nyingi kwa mfano katika [[kamera]] au vifaa vya kupima umbali, mwendo na kadhalika.
 
==Marejeo==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==
*[https://science.nasa.gov/science-news/science-at-nasa/2002/solarcells/ What is Photovoltaics?], tovuti ya NASA, iliangaliwa Machi 2019
 
*[https://dtpev.de/storage/app/uploads/intranet/public/5a2/faa/50f/5a2faa50f0887920056105.pdf Godwin Msigwa: Mafunzo ya umeme wa jua] , tovuti ya dtpev.de, iliangaliwa Machi 2019
 
*[https://www.livescience.com/41995-how-do-solar-panels-work.html How do solar panels work?], tovuti ya livescience.com, imeangaliwa Machi 2019
 
 
[[jamii:umeme]]