Tofauti kati ya marekesbisho "Wandengereko"

226 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Tengua pitio 1030392 lililoandikwa na Enock John (Majadiliano))
Tag: Undo
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Wandengereko wapo karibu 700,000. Ni [[ndugu]] wa [[damu]] na [[Wamatumbi]]: tofauti yao ni kabila moja linaishi [[Bonde|bondeni]] na lingine [[Milima|milimani]]; ndio Mmatumbi, maana ya Itumbi ni [[mlima]] ambao walikuwa wanaitwa na wenzao wa bondeni ambao ni Wandengereko.
 
Wandengereko wapo wa bondeni ambao wanaitwa Warufiji maana wamepitiwa na [[mto Rufiji]] na Wamagongo yaani waliopowalio juu .
wandengereko wanapatikana kwenye wilaya nne mkuranga,mafia,kibiti na rufiji .
{{makabila ya Tanzania}}
wilaya ya kibiti na rufiji asilimia 99% ni wandengereko na wilaya ya temeke dar maeneo ya tandika mpaka mbagala
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
koo za kindengereko ni momboka,mkumba,mzuzuri, machela,mkele, mketo,mpeta,mbonde,nk
{{DEFAULTSORT:Ndengereko}}
 
Anonymous user