Kimbunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Hurricane Katrina August 28 2005 NASA.jpg|thumb|right|Kimbunga ya "Katrina" juu ya Ghuba ya Meksiko - picha kutoka [[chombo cha angani]] tar. 28 Agosti 2005]]
[[Picha:Animated hurricane.gif|frame|right|Picha ya [[rada]] ya kimbunga upande wa kaskazini ya [[ikweta]] inaonyesha mwendo wake]]
'''Kimbunga''' (ing. ''tropical cyclone, hurricane, typhoon'') ni [[dhoruba]] kali inayoanza juu ya [[bahari]] katika maeneo ya [[tropiki]] yenye [[upepo]] mwenye [[kasi]] ya zaidi ya [[km/saa]] 117. Kimbunga ni dhoruba aina ya [[tufani]] yaani kina mwendo wa kuzunguka.
 
==Tabia za vimbunga==
Inaanza juu ya [[bahari]] ya [[tropiki|kitropiki]] penye [[maji]] yenye [[halijoto]] juu ya 26 [[°C]]. Hewa joto yenye [[mvuke]] nyingi inaanza kupanda juu na kuzunguka. Mzunguko huo unaongezeka kasi kuwa dhoruba. Kasi ikifikia mwendo wa 117 km/saa inaitwa kimbunga.
Vimbunga huwa na eneo la shinikizo duni kwenye kitovu chake ''(low-pressure center)''. Upepo mkali unazunguka haraka kitovu hiki karibu na uso wa bahari au uso wa nchi ''(closed low-level atmospheric circulation, strong winds)''. Mvua za radi zinazunguka kitovu pamoja na mwendo wa kimbunga chote na kuleta mvua nzito ''(spiral arrangement of thunderstorms that produce heavy rain)''<ref>[https://www.weather.gov/media/owlie/ciclones_tropicales11.pdf Ciclones Tropicales (pdf)], kijitabu cha Idara ya Meteorolojia ya Kitaifa, Marekani, iliangaliwa Machi 2019 </ref>.
 
InaanzaHuanza juu ya [[bahari]] ya [[tropiki|kitropiki]] penye [[maji]] yenye [[halijoto]] juu ya 26 [[°C]]. Hewa joto yenye [[mvuke]] nyingi inaanza kupanda juu na kuzunguka. Mzunguko huo unaongezeka kasi kuwa dhoruba. Kasi ikifikia mwendo wa 117 km/saa inaitwa kimbunga.
 
Vimbunga vinatokea katika [[bahari]] zote penye maji ya [[moto]] [[kaskazini]] na [[kusini]] kwa [[ikweta]]. Mzunguko hufuata mwendo wa [[saa]] kama kimbunga kinatokea kusini kwa [[ikweta]]; ni kinyume cha mwendo wa saa kama kinatokea kaskazini kwa ikweta.
 
== Hatari za Kimbunga ==
Kimbunga inaweza kusababisha hasara kubwa ikigusa [[meli]] baharini na zaidi mwambaoni inapofikia nchi kavu au visiwa. Nguvu ya upepo husukuma maji mengi ya bahari inayoweza kufika mita kadhaa juu ya uwiano wa kawaida wakati wa kufika mwambaoni. Wimbi kubwa inaleta mafuriko wa ghafla inayoweza kuvunja nyumba na kupeleka maji ya bahari mita mamia barani; penye mdomo wa mto wimbi la bahari linaendelea kuenea kwa kufuata njia ya mto.
 
Hatari zakezinazofuata ni hasa kasi ya [[upepo]] pamoja na kiasi kikubwa cha [[mvua]]. Kasi ya upepo inaweza kuinua vitu vizito kama miti, paa za nyumba au magari na kuvirusha mbali. Watu huuawa na mali kuharibiwa. Uwingi wa mvua husababisha mifuriko inayofuata njia ya kimbunga juu ya nchi kavu, wakati mwingine kwa kilomita mamia kutoka mwambao<ref>[https://www.weather.gov/safety/hurricane Hurricane Safety Tips and Resources], tovuti ya Idara ya Meteorolojia ya Kitaifa, Marekani, iliangaliwa Machi 2019</ref>.
 
Pale Amerika ni hasa [[visiwa vya Karibi]] na nchi jirani za [[Ghuba ya Meksiko]] pamoja na kusini ya [[Marekani]] zinazoathiriwa kila mwaka.
 
Barani Afrika ndiyo Msumbiji pamoja na nchi jirani iliyoona mara kwa mara uharibifu kutokana na dhoruba. Mwaka 2019 kimbunga kilichoitwa Idai<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-47578953 Kimbunga Idai: Msumbiji katika hatari kimbunga kingine kikali kikitua], tovuti ya BBC-Kiswahili tar 15-ß3-2ß19</ref> kiliharibu [[Beira (Msumbiji)|mji mkubwa wa Beira]] na kusababisha vifo hadi Zimbabwe na Malawi<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-47621240 Kimbunga Idai: Serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe], tovuti ya BBC Kiswahili, 19-03-2019</ref>.
 
== Majina ya Vimbunga ==
 
Kila sehemu ya [[dunia]] kimbunga kina [[jina]] lake na majina haya yameanza kutumiwa kimataifa:
Line 13 ⟶ 27:
* katika eneo la [[Bahari Hindi]] na Pasifiki kusini jina la saikloni ([[:en:cyclone]]) limetumiwa mara nyingi
 
== Hatari za Kimbunga ==
Kimbunga inaweza kusababisha hasara kubwa ikigusa [[meli]] baharini na zaidi mwambaoni inapofikia nchi kavu au visiwa.
 
Hatari zake ni hasa kasi ya [[upepo]] pamoja na kiasi kikubwa cha [[mvua]]. Kasi ya upepo inaweza kuinua vitu vizito kama miti, paa za nyumba au magari na kuvirusha mbali. Watu huuawa na mali kuharibiwa. Uwingi wa mvua husababisha mifuriko.
== Majina ya Vimbunga ==
Vimbunga hutokea mara kwa mara katika kipindi cha joto. Wataalamu wameanza kuvipa majina kwa kurahisisha maelewano. Katika eneo la kila bahari kuna utaratibu wa pekee wa kutolea majina kwa vimbunga kufuatana na mapatano ya wanasayansi.
 
Line 26 ⟶ 34:
 
Kimbunga ya "[[Katrina (kimbunga)|Katrina]]" kilichoharibu mji wa [[New Orleans]] katika Agosti 2005 kilikuwa kimbunga cha 11 cha mwaka [[2005]]. Kilifuata kimbunga "Jose" na kufuatwa na "Lee" halafu "Maria". Kama kimbunga inasababisha uharibifu mkubwa sana jina lake huondolewa katika orodha maana yake jina hili halitarudia. "Katrina" imebadilishwa kuwa "Katia" katika orodha ya mwaka itakayotumika mwaka 2011 (ikitokea itakuwa kimbunga kinachofuata "Jose" ya 2011)
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Maafa asilia]]