Talaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Kuchangia mada
Mstari 8:
[[Vatikani]] ni nchi pekee ambayo hairuhusu talaka, mbali ya [[Ufilipino]] ambayo inairuhusu kwa [[Waislamu]] tu.
 
[[Desturi]] na [[sheria]] kuhusu hatua hiyo na matokeo yake maishani zinatofautiana sana [[Dunia|duniani]]. Mara nyingi unadaiwa uamuzi wa mamlaka fulani, lakini sehemu nyingine unatosha ule wa mume au wa mke tu au wa wote wawili pamoja. Nchi zilizo endelea kama vile [[Marekani]]<ref>{{Cite journal|last=Marcassa|first=Stefania|date=2013-8|title=Divorce Laws and Divorce Rate in the U.S.|url=https://hal.archives-ouvertes.fr/hal-00865640|journal=BE Journal of Macroeconomics|volume=13|issue=1|pages=10.1515/bejm–2012–0149}}</ref> zina sheria za kudhibiti talaka na mawakili na wanasheria wanao wakilisha wanao taka talaka.
 
Kwa kawaida uvunjifu wa ndoa una madhara makubwa kwa wote wawili, hasa yule mwenye hali nyonge zaidi (kwa kawaida [[mwanamke]]), lakini kwa namna ya pekee kwa [[watoto]] wao ambao wanaweza wakaathirika hasa [[saikolojia|kisaikolojia]].<ref>{{cite web|url = http://www.nlm.nih.gov/medlineplus/divorce.html | title = Divorce | accessdate = 2013-11-01 | author = National Library of Medicine | authorlink = United States National Library of Medicine | date = 5 July 2013 | work = MedlinePlus}}</ref>