Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 19:06, 26 Septemba 2018 (UTC)Reply

Document your culture with Wiki Loves Love 2019 and win exciting prizes!

hariri
 

Please help translate to your language

Africa has many beautiful festivals, ceremonies and celebrations of love and we need your help to document these! They are the core part of African culture and in order to make sure this way of life followed by our ancestors remain among us, we need to have them online to make sure they are preserved. Join hands with Wiki Loves Love that aims to document and spread how love is expressed in all cultures via different rituals, celebrations and festivals and have a chance to win exciting prizes!! While uploading, please add your country code in the Wikimedia Commons upload wizard. If you want to organize an on-site Wiki Loves Love event, then contact our international team! For more information, check out our project page on Wikimedia Commons.

There are several prizes to grab. Hope to see you spreading love this February with Wiki Loves Love!

Imagine...The sum of all love!

Wiki Loves Love team 07:34, 4 Februari 2019 (UTC)

Mto Kanyaiti

hariri

Ndugu, uliandika kwamba nilifuta mchango yako bila kuuzingatia. Kumbe sivyo. Ndiyo maana marekebisho yako mengine niliyaacha, na haya sasa umeyasahihisha mwenyewe. Usiogope, hatupendi kumuonea mtu wala kumkatisha tamaa, lakini kama viongozi wa mradi huu tuna jukumu la kupitia michango yenu na kufanya uamuzi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:19, 1 Juni 2019 (UTC)Reply

Ndugu, ni vyema kuandika sababu unapokosoa mchango. Hii inampa mwandishi nafasi ya kujirekebisha na kuchangia zaidi. Sio ishara nzuri kukosoa mtu au kubatili mchango wake bila kumjulisha makosa. Sina ugomvi kukosolewa lakini ningeshukuru kujulishwa makosa au sababu ya michango yangu kutolewa. Amani kwako!!--Mwangi2017 (majadiliano) 16:40, 2 Juni 2019 (UTC)Reply
Ndugu, masahihisho mengine yanaeleweka bila kutoa sababu. Bahati mbaya hatuna muda kumueleza kila mchangiaji anapokosea: kwa mfano hapa juu umekosea tahajia ya "kubatiri" na "kumjurisha" tena "kujurishwa". Muhimu ujue kwamba hatudharau mchango wa yeyote. Tukirejesha makala kama ilivyokuwa kwanza ni kwa sababu makosa ni mengi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:59, 3 Juni 2019 (UTC)Reply
Ndugu, mawasiliano ni muhimu, mfano sahihisho lako hapa laelezea fika makosa na hivyo naweza rekebisha kosa lolote bila kupoteza ajenda. Marekebisho madogo madogo yanaewezaeleweka lakini kubatilisha mchango nadhani ni muhimu kuacha angalau maelezo. Amani kwako! --Mwangi2017 (majadiliano) 14:58, 3 Juni 2019 (UTC)Reply

Community Insights Survey

hariri

RMaung (WMF) 00:47, 7 Septemba 2019 (UTC)Reply

Reminder: Community Insights Survey

hariri

RMaung (WMF) 18:56, 20 Septemba 2019 (UTC)Reply

Reminder: Community Insights Survey

hariri

RMaung (WMF) 15:11, 4 Oktoba 2019 (UTC)Reply