Angatando : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|thumb|Tabakakastro katika angahewa '''Tabakastrato''' ni tabaka mojawapo ya angahewa ya Dunia. Inaanza takriban kilo...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Angahewa tabaka.png|300px|thumb|Tabakakastro katika angahewa]]
'''Tabakastrato''' ni tabaka mojawapo ya [[angahewa]] ya [[Dunia]]. Inaanza takriban [[kilomita]] 8 juu ya uso wa ardhi (nchani; kilomita 18 juu ya ikweta) hadi kilomita 50.
 
Katika tabakastrato halijoto inapanda juu pamoja na kimo. Hii inasababishwa na [[ozoni]] iliyopo hapa. Ozoni hufyonza [[urujuanimno|mnururisho wa urujianimnourujuanimno]] kutoka nuru ya Jua na kuibadilisha kuwa joto.
 
Hii ni tofauti na tabakatropo iliyopo chini yake. Hapa halijoto inapungua kadri ya kupungua kwa kimo. Pia katika tabakameso iliyopo juu ya tabakakastro halijoto inapungua kadri ya kufikia juu zaidi.