Usimbishaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Regnbyge.jpg|240px|thumb|right|[[Dhoruba]] ya mvua]]
[[Picha:Usimbishaji wa maji.png|thumb|550px|[[Dura ya maji]] duniani inaundwa na usimbishaji na [[uvukizaji]]]]
'''Usimbishaji''' (ing. ''precipitation'')<ref>Istilahi ni pendekezo la [[KAST]]</ref> (kwa [[Kiingereza]]: ''precipitation'') ni [[maji]] yanayonyesha kutoka [[hewa]] hadi ardhini.
 
Maji hayahayo ni pamoja na [[mvua]], [[theluji]], [[mvua mawe]] na [[umande]].
 
Usimbishaji unaanza pale ambakoambapo [[hewa]] lenyeyenye [[joto]] na [[mvuke]] hupanda juu. Juu zaidi [[halijoto]] yake inapungua na mvuke ndani ya hewa unaanza kutonesha na kuwa [[tone|matone]] ya maji. Kila [[wingu]] hufanywa na matone mengi madogo yanayoendelea kuelea hewani pamoja. [[Upepo]] inakorogaunakoroga matone yale madogo mpaka yanagongana na kuunganika na hivyo kukua.
 
Kama matone ni makubwa ya kutosha yanaanza kuanguka chini kama mvua, theluji au mvua mawe. Hali inategemea halijoto katika mawingu na hewani pale matone yanapotelemka.
 
Kiasi cha usimbishaji ni muhimu kwa ajili ya tabia za [[hali ya hewa]] katika nchi au eneo fulani.
 
== Kufanya mvua kwa mitambo ==
[[Watu]] wameanza kufanya mvua kwa kukamua mawingu. HapaHapo [[punje]] ndogo za [[iodidi]] ya [[fedha]] zinatupwa mawinguni kwa njia ya [[ndege]] au ma[[kombora]]. Punje hizihizo zinakuwa viini vya kutonesha mvuke na kusababisha matone kukua hadi mvua kunyesha.
 
[[Teknolojia]] hiihiyo inatumika katika maeneo makavu. YanatumikaInatumika pia katika maeneo ya [[kilimo]] ili kuzuia mvua mawe isiharibu [[mavuno]].
 
==Marejeo==
Mstari 20:
 
{{jaribio}}
 
 
[[Jamii:Metorolojia]]