Mjusi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
==Mahali pake==
Mjusi inapakana na kundinyotamakundinyota zaya [[Kifausi (kundinyota)|Kifausi] (Cepheus), [[Mke wa Kurusi (kundinyota)|Mke wa Kurusi]] (Cassiopeia), [[Mara (kundinyota)|Mara]] (Andromeda), [[Farasi (kundinyota)|Farasi]] (Pegasus) na [[Dajaja (kundinyota)|Dajaja]] (Cygnus).
 
Nyota angavu ya [[Dhanabu ya Dajaja]] ([[ing.]] [[:en:Deneb|Deneb]]) iko jirani.
 
==Jina==
Kundinyota hili halikujulikana kwa mabaharia Waswahili wa Kale wala kwa Waarabu au Wagiriki kwa sababu nyota zake ni hafifu sana. Katika enzi ya kale nyota hizi hazikupangwa kuwa sehemu ya kundinyota maalumu. Mjusi ni kati ya kundinyotamakundinyota zilizoanzishwayaliyoanzishwa na mwanaastronomia [[Johannes Hevelius]] wa [[Danzig]] (Gdansk) mnamo mwaka [[1690]] BK. Akiwa mpika pombe na mfanyabiashara tajiri aliyeshika kwa muda pia umeya wa mji wake alikuwa hasa maarufu kwa kuangalia, kupima na kuorodhesha nyota pamoja na mke wake [[Elisabeth Hevelius]].
 
Hevelius aliyelenga kujaza mapengo kati ya kundinyota akiandika kwa Kilatini alichagua jina “Lacerta sive Stellio ” ([[Mjusi]] au [[Salamanda]]) lakini jina la pili halikutumiwa baadaye.
 
Lacerta - Mjusi iko kati ya kundinyotamakundinyota 88 zinazoorodheshwayanayoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] kwa jina la Lacerta. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Lac'.<ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The constellations], tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
==Nyota==