Mshale (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
'''Mshale''' (pia '''Kausi''' au '''[[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Sagittarius" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Sagittarii" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Sagittarii, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni jina la [[kundinyota]] kwenye [[zodiaki]].
 
[[Nyota]] za Mshale huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Mshale" inaonyeshalinaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.
 
==Jina==
Mstari 20:
Mshale inaonekana pale angani ambako [[njia nyeupe]] inang'aa zaidi yaani kuelekea kitovu cha [[galaksi]] yetu.
 
Mshale ni kati ya kundinyotamakundinyota zilizojulikanayaliyojulikana tangu karne nyingi zikitumiwa hasa na mabaharia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.
 
==Nyota na magimba ya anga==