Twiga (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Image: Camelopardalis_IAU.svg|thumb|right|400px|Ramani ya Twiga (Camelopardalis)]]
 
'''Twiga''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''[[:en:Camelopardalis|Camelopardalis]]'') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Camelopardalis" katika lugha ya [[Kilatini]] ni pia "Camelopardalis" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Phoenicis, nk.</ref> ni [[jina]] la [[kundinyota]] kubwa yenyelenye nyota hafifu kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] ya [[dunia]] yetu.
 
==Mahali pake==
Mstari 10:
 
==Jina==
Twiga ni kati ya kundinyotamakundinyota lililobuniwayaliyobuniwa tangu mabaharia Wazungu walizunguka dunia yote yaani karne ya 16 na hapo wanaastronomia wa Ulaya walilenga kuchora ramani ya nyota zote. Wagiriki wa Kale hawakujaribu kupanga nyota zake hafifu kati ya kundinyotamakundinyota walizojuawaliyojua. Mholanzi [[Petrus Plancius]] aliwahi kupokea taarifa ya mabaharia waliochora nyota za kusini halafu akajitahidi kujaza eneo lote la angani kwa kupanga nyota zote kwa kundinyotamakundinyota kwenye [[globu ya nyota]] yake. Hapo alitambua pengo kaskazini akaunda kundinyotamakundinyota laya Twiga na [[Munukero (kundinyota)|Munukero]] (Monoceros).
 
Plancius alitumia jina la Camelopardalis kwa mnyama wa [[twiga]] maana Wazungu hawakujua mnyama huyu na kutokana na maelezo waliona ana shingo ndefu kama [[ngamia]] (''camel'') halafu madoa kama [[chui]] (''pardalis'' kwa [[Kigiriki]]).
 
Leo Camelopardalis - Twiga iko pia kati ya kundinyotamakundinyota 88 zinazoorodheshwayanayoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[UKIA]] ni 'Cam'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==