Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Orion Picha.jpg|thumbnail|Mwindaji [[Orion]]: watu waliwaza ya kwamba nyota kadhaa zinazoonekana kwa pamoja angani ni picha ya mungu fulani au nguvu muhimu katika ulimwengu, hata kama nyota hizi hali halisi hazina uhusiano kati yao.]]
'''Unajimu''' (wakati mwingine pia: '''astrolojia''' kutoka [[Kiingereza]]: "astrology") ni mafundisho yasiyo ya [[sayansi|kisayansi]] juu ya uhusiano kati ya [[nyota]] na [[maisha]] hapa [[duniani]]. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duniani kama [[amani]], [[vita]] au [[maafa]]. Hapa huangalia hasa [[kundinyotamakundinyota]] zilizopoyaliyopo kwenye mzingo wa [[zodiaki]] ambazo ziliitwa "[[Buruji za Falaki]]" katika utamaduni wa Waswahili. Siku hizi wanajimu huziita zaidi "alama za nyota".
 
Kuna aina nyingi za unajimu:
Mstari 9:
== Tofauti ya unajimu na astronomia ==
Unajimu na [[astronomia]] zilianza pamoja kama [[kazi]] ileile zikaendelea hivyo kwa [[karne]] nyingi. Tangu mwanzo wa [[sayansi]] ya kisasa takriban miaka 500 iliyopita [[wataalamu]] walitambua tabia za nyota kuwa [[magimba ya angani]] yenye sifa za ki[[fizikia]] si [[pepo]], [[roho]] au miungu wanaoweza kutawala dunia au wanadamu. Kwa hiyo njia za unajimu (astrolojia) na astronomia zimeachana tangu karne kadhaa. Lakini miaka 400 iliyopita [[wanasayansi]] muhimu kama [[Tycho Brahe]], [[Johannes Kepler]], [[Giordano Bruno]] au [[Galileo Galilei]] walitengeneza [[horoskopi]], ingawa waliweka misingi ya astronomia ya kisasa.
[[Picha:Antiquities of Mexico, 1831; Aztec zodiac man Wellcome L0020862.jpg|thumbnail|Uchoraji wa Meksiko ya Kale unaonyesha zodiaki ya kundinyotamakundinyota zaya unajimu wa Waazteki]]
 
== Asili ya unajimu ==
Mstari 27:
Kwa [[wazee]] hao ilionekana kama nyota fulani inatawala majira, hali ya hewa na hivyo maisha ya [[binadamu]] kwa sababu maisha ya [[jamii]] yalitegemea majira na mwendo wa mvua, [[ukame]], baridi au joto. Hapo ni [[asili]] ya kuziangalia nyota kama miungu au pepo wenye uwezo fulani. Hasa tabia ya hali ya hewa ya kuchelewa au kuwahi kidogo ilijenga imani ya kwamba kuchelewa kwa mvua ni [[dalili]] ya [[hasira]] ya [[mungu]] yule anayeonekana katika nyota fulani.
 
[[Picha:Astro signs.svg|thumbnail|Alama kwa kundinyotamakundinyota 12 zaya Zodiaki katika mapokeo ya Ulaya; zinadaiwa kuwa muhimu na kutawala tabia za watu kwenye horoskopi.]]
 
== Horoskopi ==
Kati ya mbinu za unajimu zinazojulikana sana duniani ni [[horoskopi]].
 
Tangu zamani watu walitazama nyota zilizoonekana pamoja kama [[kundinyota]] kama nukta angani na kuwaza kuwa na mistari kati yake, hivyo kuona picha ya watu, wanyama au miungu. Ni hasa kundinyotamakundinyota [[kumi na mbili|12]] zaya aina hii zilizorudiayaliyorudia kila mwaka kukaa juu kwenye [[anga]] wakati wa mwezi fulani. Makundinyota hayo yalichukuliwa kama "watawala" wa kipindi ambako zilionekana juu angani wakati wa usiku na kwa pamoja zinafanya "[[zodiaki]]" yaani ufuatano wa kundinyotamakundinyota zilizoaminiwayaliyoaminiwa kuwa muhimu.
 
Unajimu unafundisha ya kwamba kila kundinyota kuwahuwa na tabia fulani na mtu mtu aliyezaliwa "chini" ya nyota hizi anapokea tabia za pekee kulingana na ''nyota zake''. Hayo makundinyota ya zodiaki yaliunganishwa na athari iliyoaminiwa kutokea kwa [[sayari]] ambazo zilipewa pia tabia zake.<ref>[https://ngololo.wordpress.com/2015/02/05/ijue-nyota-yako-na-tabia-zako-hapa/ Ijue nyota yako na tabia zako hapa], mfano wa tovuti ya mnajimu, iliangaliwa Januari 2019</ref> Hayo yote ni mfumo usioeleweka kirahisi na kuwa msingi wa horoskopi.
 
Hadi leo chini ya vichwa kama "Nyota zinasema" [[magazeti]] mengi huchapisha namna za [[utabiri]] wa kila [[wiki]] kwa watu kufuatana na [[tarehe]] zao za kuzaliwa.