Chicago : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Bilyan7777 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Illegitimate Barrister
Tag: Rollback
Mstari 29:
 
Kwa miaka mingi jengo la Sears Tower lilikuwa nyumba kubwa ya dunia kati ya 1974 hadi 1998 ikiwa na kimo cha mita 442.
 
<br />
 
== Historia ya Chicago ==
Mji wa Chicago ni mji mkubwa sana katika Marekani, miji mikubwa tu ni mji wa New York na mji wa Los Angeles. Lakini hii haikuwa ya kweli wakati wote. Mji wa Chicago ilianza kama ngome ndogo sana karibu na ziwa Michigan. Ngome ilijenga katika mwaka elfu moja mia nane kumi na sita kwa serikali ya Marekani. Wao walijenga hapa kwa sababu ni mhali muhimu sana. Ni muhimu kwa biashara na vita na asili ya Marekani, pia na Uingereza na Kifaransa. Ni muhimu sana kwa sababu ni katika mahali nzuri sana. Mji wa Chicago ni katika pwani la ziwa Michigan, hili ni nzuri kwa biashara na chakula kwa sababu kulikuwa na samaki sana katika ziwa. Ni nzuri kwa vita kwa sababu ni rahisi kwa meli ya jeshi ili kujengwa na kuenda mahali tofauti sana. Kwa mfano, meli ya jeshi katika iliweza kushambulia mhali katika nchi ya Canada kama maili 500 mbali.
 
Katika mwaka elfu moja mia nana ishirini na tisa, watu katika kijiji ya Chicago walijenga mfereji kutoka zima Michigan mpaka mto Mississippi. Kwa sababu ya hili watu katika kijiji ya Chicago waliweza kufanya biashara katika kila jimbo kati ya jimbo la Illinois na jimbo la Louisiana, na kwa mahali kama nchi ya Mexico au Cuba. Katika mwaka elfu moja mia nane arobaini na nane reli kutoka mashariki na Marekani na mji wa Chicago ilijengwa, reli pia alikwenda mgodi mkubwa katika kusini ya Illinois. Hili unasababishwa idadi ya watu kukua harakaharaka.
 
Katika tarehe nane, mwezi wa tisa, mwaka elfu moja mia nane sabini na moja ilikuwa moto ya Chicago. Moto ya Chicago ni moto mkubwa sana ambayo iliteketeza mji mzima. Hadithi inasema kwamba ngombe katika mji alipiga taa juu ya nyasi nah ii ndiyo iliyoanza moto. Ilichukua miaka minne kujenga mji la Chicago tena. Majivu kutoka moto ya Chicago iliweka katika ziwa Michigan, na kwa sababu ilikuwa majivu sana, watu waliweza kujenga majengo mpya katika ardhi mpya. Baada ya moto ya Chicago, watu walianza kujenga majengo na vifaa kama chuma kwa sababu chuma haiwezi kuchoma. Kwa sababu watu walianza kujenga na chuma, waliweza kujenga majengo mrefu sana. Watu wengi wanasema kwamba mji wa Chicago ni mji wa kwanza kujenga skyscrapers.  
 
Jina tofauti kwa Chicago ni “The windy city”. Watu wengi wanafikiri inaitwa hii kwa sababu mji wa Chicago inakuwa na upepo sana kwa sababu ni katika ziwa Michigan, lakini watu ambaye anaishi katika Chicago wanasema ni kwa sababu ofisi ya serikali wanaweza kuongea kwa muda mrefu sana.
 
Sasa, idadi ya watu wa mji wa Chicago ni karibu na milioni tatu. Watu katika Chicago Metropolitan Agency for Planning (CMAP) wanafikiri kwamab katika mwaka elfu mbili hamsini, idadi ya watu wa mji wa Chicago itakuwa karibu na milioni kumi.  
 
Ni mji mkubwa katika Marekani kwa biashara, elimu, utalii, na huduma ya afya. Watu wakubwa katika biashara kama John Crerar, John Whitfield Bunn, Richard Teller Crane, Marshall Field, John Farwell, na Julius Rosenwald wanafanya au walifanya biashara katika mji wa Chicago. Kwa elimu, mji wa Chicago ina chuo kiku sana kama The University of Chicago, Loyola University, na DePaul University. Kuna makaburi na majengo sana katika mji wa Chicago hiyo ni maarufu sana kwa utalii. Baadhi ya haya ni kama Millennium Park, Willis Tower, na Navy Pier. Sehemu ya Navy Pier imejengwa katika majivu kutoka moto Chicago. Kila mwaka mji wa Chiacago hupata karibu na millioni hamsini watalii katika vivutio tofauti.      
 
Watu wengi ambaye wanaishi katika mji wa Chicago wanafikiri kwamba hali ya hewa katika mji wa Chicago ni mbaya sana. Katika majira ya kiangaiz ni joto kidogo lakini ni unyevu sana. Kila mwezi inakuwa na upepo sana na mvua au theleuji pia. Katika majira ya baridi, hali ya hewa inaweza kuanguka chini ya digrii 0 Fahrenheit. Ni kawaida katika mji wa Chicago kupata karibu na miguu kumi au kumi na tano kila mwaka. Katika majira ya joto ni kawaida kupata ngurumo au kimbunga pia.  
 
Mji wa Chicago ni nyumba kwa watu sana maarufu. Watu kama: Frank Lloyd Wright, Rais Obama, Derrick Rose, Walt Disney na wengine wengi sana.
 
==Viungo vya Nje==