Wikipedia:Uharabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 langlinks, now provided by Wikidata on d:q4664011
No edit summary
Mstari 1:
'''Uharabu''' ni([[ing.]] kuongeza,''[[:en:Wikipedia:vandalism|vandalism]]'') kuondoani au kubadilishakuharibu [[makala]] za [[wikipedia]] kwa kusudi lakwa kuharibukuongeza habari za uwongo au kuondoa habari sahihi. msimamoMsimamo na uadilifu wa Wikipedia. Ukigunduliwaunahatarishwa ufutwena matendo ya aina hii.
 
Uharabu ni tofauti na mabadiliko yanayoingiza makosa lakini hayaonyeshi nia mbaya.
 
'''Nia mbaya inaonekana kama'''
* Matini yote au sehemu kubwa ya matini ya makala ikifutwa tu na makala kuhifadhiwa baada bila matini au kubaki kwa sehemu chache, tena bila maelezo kwenye ukurasa wa majadiliano yanayoeleza sababu
* kama makala inabadilishwa kwa kuingiza kashfa na matusi
* kuingiza picha zisizo na uhusiano wowote na mada au kulenga kukashifu (kama kuingiza picha za wanyama katika makala kuhusu mtu)
* kuingiza habari bila ukweli kama mzaha au kichekesho (sisi sote tunapenda mzaha mzuri, lakini ikibaki kwenye wikipedia inaunda habari ya uwongo ya kudumu, kwa hiyo hatucheki hapa!)
 
Ukijaribu uharabu kwenye wikipedia kubwa kama enwiki inawezakana utaonywa tu. '''Hapa kwenye Wikipedia ya Kiswahili utafukuzwa haraka sana.''' Maana tuko waratibu wachache mno kwa hiyo tunapendelea kumzuia mtu mara moja kwa wiki, miezi au milele ukionekana unaleta uharabu kwa kusudi.
 
Kama umebanwa lakini una sababu za kujitetea basi lete kwa ukurasa wa jumuiya au kwa ukurasa wa mkabidhi fulani.
 
'''Uharabu unagunduliwa ufutwe.'''
 
[[Category:wikipedia]]