Wikipedia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 16:
Wikipedia imeshachukua nafasi za kamusi elezo mashuhuri kama Encyclopedia Britannica zilizotazamiwa kuwa mkusanyiko wa elimu ya Dunia kabla ya kutokea kwa intaneti. Kwa lugha za Kiafrika kama Kiswahili ni mara ya kwanza ya kwamba jaribio la kukusanya elimu za fani mbalimbali limeanzishwa.
 
Hadi mwaka 2018 wachangiaji wa wikipedia walishirikiana kuunda zaidi ya makala milioni 47<ref>[meta:List_of_Wikipedias List of Wikipedias by article count, users, file count and depth], iliangaliwa tar. 27-11-2018</ref> kwa lugha 300. Wikipedia kubwa zenye makala zaidi ya milioni mbili zilikuwa kwenye Novemba 2018: Wikipedia ya Kiingereza (makala 5.,758.,502), ya Kicebuano (makala 5.,379.,917), ya Kiswidi (makala 3,764,225), ya Kijerumani (2,243,097) na ya Kifaransa (makala 2,060,362). Kwa jumla kulikuwa na wikipedia zenye zaidi ya makala milioni moja kwa lugha 15.
 
==Taasisi ya Wikimedia Foundation==