Makemake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:2005FY9art.jpg|thumb|right|Artist's conception of Makemake, by Ann Feild (Space Telescope Science Institute)]]
'''Makemake''' (''tamka "ma-ke-ma-ke";'' jina rasmi'': '''136472 Makemake''') ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] letu katika [[umbali]] mkubwa kwenye [[ukanda wa Kuiper]].
 
Iligunduliwa [[tarehe]] [[31 Machi]] [[2005]] na [[wanaastronomia]] Michael E. Brown, Chad Trujillo na David Rabinowitz kwenye [[paoneaanga pa Mount Palomar]].
 
==Jina==
[[Jina]] lilichaguliwa kutokana na [[mungu]] mwuumbaji[[muumbaji]] aliyeitwa "Makemake" katika [[dini asilia]] ya [[Kisiwa cha Pasaka]] (''Easter'' ''Island'', kwenye [[Bahari]] ya [[Pasifiki]]). Kuna mapatano katika [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] kutumia majina ya [[miungu]] ya [[dini]] mbalimbali kwa [[Gimba|magimba]] yanayoendelea kugunduliwa katika ukanda wa Kuiper. [[Asili]] ya jina iko katika [[lugha]] ya [[Kipolinesia]] na katika dini yao ni mwuumbajimuumbaji wa [[binadamu]] na mungu wa rutba[[rutuba]]. Makemake aliabudiwa kwa [[umbo]] la [[Ndege (mnyama)|ndege]] wa bahari. [[Ishara]] yake ilikuwa mwanaume[[mwanamume]] mwenye [[kichwa]] cha ndege.<ref>[https://www.iau.org/news/pressreleases/detail/iau0806/ Fourth dwarf planet named Makemake], tovuti ya [[Ukia]], 19 Julai 2008, iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
== Muundo na tabia ==
Hakuna habari nyingi za uhakika kutokana na umbali wa gimba hili na kwa sababu hadi sasa hakuna [[chombo cha angani]] kilichopita karibu nayo. Lakini Makemake inaonekana ni hasa [[mwamba]] na [[barafu]] ilhali katika ubaridi[[baridi]] uliopoiliyopo mbali na jua barafu huwa ngumu kama mwamba.
 
== Marejeo ==