Kasoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:kutokea kwa Kasoko.png|thumb|Kutokea kwa kasoko baada ya pigo la asteroidi]]
[['''Kasoko]]''' (kwa [[ing.Kiingereza]]: ''crater'') ni tunduuwazi kwenye [[ardhi]] kutokanauliotokana na [[mlipuko]] au mshtuko wa kugongwa na [[gimba]].
 
Kasoko ina [[umbo]] la [[duara]]; katikati ni kama shimo na ukingo wake unainuliwa juu ya uwiano wa [[mazingira]] yake. [[Duniani]] kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na milipuko waya [[volkeno]] au milipuko mingine. Kwenye [[sayari]] au [[miezi]] yenye uso thabiti kuna kasoko nyingi kama matokeo ya kugongwa na magimba kutoka [[anga-nje]]. Kwa mfano kwenye [[Mwezi wa Dunia]] kuna kasoko nyingi zilizosababishwa na migongano ya [[asteroidi]]. Pigo la kitu kigumu linarusha [[mata]] iliyopo mahali pa mgongano ikipangwaikae pembeni ya tundushimo hilihilo kwa umbo la ukingo wa [[mviringo]].
 
Duniani kasoko zilizosababishwa na mishtuko ya aina hiihiyo husawazishwa baada ya muda fulani kutokana na [[mmomonyoko]] waunaosababishwa na [[mvua]] na [[upepo]]; kwenye magimba pasipo na [[angahewa]] kama Mwezini zinabaki kwa muda mrefu.
 
Kuna aina mbalimbali za kasoko :
 
* [[kasoko ya mlipuko]], kwa mfano wa [[bomu]] iliyolipukalililolipuka ndani ya ardhi au juu ya uso wa ardhi
* [[kasoko ya dharuba]] (mgongano) kutokana na kugongwa kwa uso la gimba na gimba nyingine, kwa mfano kama Dunia, sayari nyingine au Mwezi imegongwa na [[meteoridi]] au [[asteroidi]]
* [[Kasokokasoko ya volkeno]]: shimo ambako [[zaha (lava)]] inatoka nje
 
Kasoko kubwa zaidi duniani zilisababishwa na [[asteroidi]] zilizogonga Dunia yetu. Kasoko kubwa iliyojulikana hadi [[mwaka]] [[2006]] ilikuwa kasoko ya [[Vredefort]] nchini ([[Afrika Kusini]]) yenye umbo la [[yai]] yala [[urefu]] wa 320 [[km]] 320 na [[upana]] wa 180 km 180.
 
Mwaka 2006 [[wataalamu]] waligundua kasoko kubwa zaidi yenye [[kipenyo]] cha 500 km 500 huko [[Antarktika]] katika [[picha]] zilizopigwa kutoka angani. Iko chini ya [[barafu]] ya Antarktika katika eneo la [[Wilkes Land]] inatajwa kwa [[kifupi]] cha WLIC (ing.: Wilkes Land impact crater). Kasoko ya WLIC inaaminiwa imesababishwa na [[asteroidi]] yenye kipenyo cha takriban 5 km 5.
 
==Picha==
<gallery>
Image:Tycho_crater_on_the_Moon.jpg|Kasoko ya [[Tycho Brahe|Tycho]] mwezini kutokana na dharuba ya kimondo
Line 22 ⟶ 23:
</gallery>
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Jiografia]]
[[jamii:Astronomia]]