Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Asili ya jina...
Mstari 85:
== Historia ==
{{main|Historia ya Tanzania}}''(Kuhusu historia ya maeneo ya Tanzania kabla ya 1964 angalia makala za [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]], [[Zanzibar]] na [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]])''
 
Jina "Tanzania" limeundwa kutokana na majina ya [[Tanganyika|TANganyika]] na [[Zanzibar|ZANzibar]] (pamoja na athira ya jina la kale la "[[AzanIA]]").
Jina "Tanzania" limeundwa kutokana na majina ya [[Tanganyika|TANganyika]] na [[Zanzibar|ZANzibar]] (pamoja na athira ya jina la kale la "[[AzanIA]]"). Mbunifu wa jina hili alitumia herufi tatu za kila upande wa jina na kumalizia na jina na imani yake. Mfano: TAN-ZAN-I-A, hiyo I na A ni jina na dhehebu analofuata. Anaitwa: Mohamed Iqbal Dar. I ni Iqbal na A ni dhehebu lake analolifuata katika Uislamu la [[Ahmadiyya]].
 
Nchi hizo [[mbili]] zilikuwa zote chini ya [[utawala]] wa [[Uingereza]] hadi kupata uhuru lakini hazikuwa ma[[koloni]] ya kawaida.