Maliki Junubi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 19:
[[Picha:Asadi_-_Simba_(Leo).png|400px|thumb|Maliki Junubi (Regulus) katika makundinyota yake ya Asadi – Leo jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji wa Afrika ya Mashariki]]
'''Maliki Junubi''' ([[ing.]] na [[lat.]] '''Regulus''' pia '''<big>α</big> Alfa Leonis''', kifupi '''Alfa Leo''', '''α Leo''') ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la [[
==Jina==
Maliki Junubi inayomaanisha “Mfalme wa Kusini” ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. <ref>ling. Knappert 1993</ref>. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaosema <big> المليك</big> ''al-malik'' linalomaanisha "mfalme". Waarabu waliwafuata hapa Wagiriki wa Kale waliosema βασιλίσκος basiliskos (mfalme mdogo)
Kwa matumizi ya kimataifa Umoja wa Kimataifa wa Astronomia ulikubali umbo la Kilatini la jina na kuorodhesha nyota hii kwa jina la "Regulus" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref> (yaani mfalme mdogo).
Mstari 28:
==Tabia==
Maliki Junubi - Regulus iko
Iko angani karibu na mstari wa [[ekliptiki]], hivyo inafunikwa mara nyingi na Mwezi.
|