Tabibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Doctor examining child, Seattle, circa 1970s (20851540008).jpg|thumb|300px|Tabibu akichungulia masikio ya mtoto]]
'''Tabibu''' (ing.kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]]: ''physician'') ni [[mtu]] aliyesoma [[Tiba|elimu ya tiba]] hadi kufikia kiwango kinachompa uwezo wa kutambua na kutiba [[magonjwa]] mbalimbali.
 
Tabibu anashirikiana na watu wengine waliojifunza sehemu za [[elimu]] ya [[afya]] na tiba kama vile [[wauguzi]], [[wataalamu]] wa [[tibamaungo]], [[tibaredio]] au [[uchunguzi wa maabara]], wafamasi[[mfamasia|wafamasia]] na wenginewengineo. Kutokana na elimu yake ya juu tabibu ni yule anayefanya maamuzi kuhusu mwelekeo na matibabu na chaguo la madawa[[dawa]].
 
Kwa kawaida tabibu anatakiwa kutimiza masomo ya tiba kwenye [[chuo kikuu]] kwa miaka kadhaa. Masomo hayahayo ni pamoja na au yanafuatwa na vipindi vya kupata maarifa ya kazi akimsaidia tabibu mzeemzoefu katika [[hospitali]]. Matabibu wengi wanaendelea kusoma elimu kwenye [[fani]] za pekee kama vile [[upasuaji]], [[jinakolojia]], [[tiba ya watoto]], [[magonjwa ya akili]] na mengine.
 
==TibabuTabibu, mganga, daktari==
Mara nyingi tabibu huitwa "[[daktari]]" ingawa hii si [[jina]] la elimu maalumu, bali ni [[cheo]] cha mtu aliyeonyesha kiwango cha juu katika mojamojawapo ya [[sayansi]] mbalimbali. Ni sahihi kwa tabibu aliyemaliza masomo yake pamoja nahadi [[shahada ya uzamivu]].
 
Jina la kimila kwa tabibu ni "[[mganga]]". [[Tamaduni]] zote za [[dunia]] zilikuwa na waganga waliopata elimu ya [[tiba ya kijadijadi]] kwa viwango tofautitofauti. Lakini kwa kawaida hawana elimu ya kichuo na kutegemeana na [[mazingira]] mbinu zao zinaweza kuchanganywa na [[ushirikina]], [[uchawi]] na [[imani]] potovu. Kote duniani vifo vilipungua na watu kufikia umri mkubwa zaidi baada ya kupatikana kwa matibabu walisoma tiba ya kisayansi.
 
Kote duniani [[kifo|vifo]] vilipungua na watu kufikia [[umri]] mkubwa zaidi baada ya kupatikana kwa matabibu waliosoma tiba ya kisayansi.
{{mbegu-tiba}}
[[jamii:Tiba]]
[[Jamii:Kazi]]