Kizio astronomia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{jaribio}}
'''Kizio astronomia''' ([[ing.]] Astronomical Unit AU) ni kipimo cha umbali kwa katika elimu ya [[astronomia]]. Kinalingana na umbali wa wastani kati ya [[dunia]] na [[jua]].
 
Urefu wake ni mita 149,597,870,691 au kwa kifupi takriban [[kilomita]] milioni 150. Umbali huu ni sawa na wastani wa umbali kutoka kitovu cha [[Dunia]] hadi kitovu cha [[Jua]].
 
Vipimo vilivyo kawaida duniani kama [[kilomita]] vinaweza kutumiwa katika astronomia lakini vinaleta namba kubwa mno. Hivyo astronomia imebuni vipimo vyake vinavyorahisisha kutaja umbali wa magimba katika [[anga ya ulimwengu-nje]]. Mara nyingi astronomia hutumia kipimo cha [[Mwakanuru]] kwa kupima umbali katika ulimwengu. Lakini kwa umbali za karibu zaidi jinsi ilivyo ndani ya [[mfumo wa Jua letu]] kizio astronomia kimechaguliwa.
 
63,241.077 vizio astronomia vinafanya mwaka wa nuru 1.
Mstari 45:
|}
 
[[Chombo cha angani]] kilichofika mbali hadi sasa ni "[[Voyager 1]]". Mwaka Kipo2019 sasa takribankilipita vizio astronomia 122145 kutoka juaJua, nje ya obiti kimeshapitaya Pluto na [[ukanda wa Kuiper]].
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==