Kizio astronomia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Astronomical unit.png|300px|thumb|Mstari wa kijivu hudokeza umbali wa Dunia - Jua, ambayo wastani yake ni [[km]] milioni 150 imefafanuliwa kuwa kizio astronomia kimoja.al unit.]]
{{jaribio}}
'''Kizio astronomia''' ([[ing.]] Astronomical''astronomical Unitunit'', AUkifupi au<ref>[https://www.iau.org/static/resolutions/IAU2012_English.pdf Resolution B2 on the re-definition of the astronomical unit of length, mkutano mkuu wa [[UKIA]] 2012]</ref>) ni kipimo cha umbali katika elimu ya [[astronomia]]. Kinalingana na umbali wa wastani kati ya [[dunia]] na [[jua]].
 
Urefu wake ni mita 149,597,870,691<ref>Resolution B2 on the re-definition of the astronomical unit of length, mkutano mkuu wa [[UKIA]] 2012</ref> au kwa kifupi takriban [[kilomita]] milioni 150. Umbali huu ni sawa na wastani wa umbali kutoka kitovu cha [[Dunia]] hadi kitovu cha [[Jua]].
 
Vipimo vilivyo kawaida duniani kama [[kilomita]] vinaweza kutumiwa katika astronomia lakini vinaleta namba kubwa mno. Hivyo astronomia imebuni vipimo vyake vinavyorahisisha kutaja umbali wa magimba katika [[anga-nje]]. Mara nyingi astronomia hutumia kipimo cha [[Mwakanurumwakanuru]] kwa kupima umbali katika ulimwengu. Lakini kwa umbali za karibu zaidi jinsi ilivyo ndani ya [[mfumo wa Jua letu]] letu kizio astronomia kimechaguliwa.
 
63,241.077 vizio astronomia vinafanya mwaka wa nurumwakanuru 1.
 
{| class="toccolours" border=1 cellspacing=0 cellpadding=2 style="text-align:center; border-collapse:collapse;"