Kizio astronomia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Astronomical unit.png|300px|thumb|Mstari wa kijivu hudokeza umbali wa Dunia - Jua, ambao wastani wake ni takriban [[km]] milioni 150 umefafanuliwa kuwa kizio astronomia kimoja.]]
'''Kizio astronomia''' ([[ing.]] ''astronomical unit'', kifupi "'''au'''"<ref>[https://www.iau.org/static/resolutions/IAU2012_English.pdf Resolution B2 on the re-definition of the astronomical unit of length, mkutano mkuu wa [[UKIA]] 2012]</ref>) ni kipimo cha umbali katika elimu ya [[astronomia]]. Kinalingana na umbali wa wastani kati ya [[dunia]] na [[jua]].
 
Urefu wake ni mita 149,597,870,691<ref>Resolution B2 on the re-definition of the astronomical unit of length, mkutano mkuu wa [[UKIA]] 2012</ref> au kwa kifupi takriban [[kilomita]] milioni 150. Umbali huu ni sawa na wastani wa umbali kutoka kitovu cha [[Dunia]] hadi kitovu cha [[Jua]].