Kutubu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
| majina mbadala = <small> 1 Ursae Minoris, HR 424, BD +88° 8, HD 8890, SAO 308, FK5 907, GC 2243, ADS 1477, CCDM J02319+8915, HIP 11767</small>
}}
''' Kutubu ''' (lat. & ing. '''Polaris''' au '''Pole Star''', pia '''<big>α</big> Alfa&nbsp;Ursae Minoris''', kifupi '''Alfa Umi''', '''α&nbsp;Umi''') ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la [[Dubu Mdogo (kundinyota)|Dubu Mdogo]] (''[[:en:Ursa Minor (constellation)|Ursa Minor]]''). Nyota hii iko karibu sana na nukta ya [[Ncha ya anga |ncha ya kaskazini ya angani]] na kabla ya kupatikana kwa teknolojia ya kisasa ilikuwa nyota muhimu kwa ajili ya mabaharia kwenyewaliotazama [[nusutufe ya kaskaziniangakaskazi]]. Haionekani kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya Dunia.
 
==Jina==
Kutubu inayomaanisha “mhimili, ncha" ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini upande wa kaskazini yawa [[ikweta]] wakati wa usiku kwa msaada wa [[nyota]]. <ref>ling. Knappert 1993</ref>. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaosema <big> القطب </big> ''al-qutub'' inayomaanisha „nyota ya ncha ya kaskazini".
 
Kwa matumizi ya kimataifa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] ulikubali jina la [[Kilatini]] na kuorodhesha nyota hii kwa jina la "Polaris" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref>.
Mstari 28:
Kutubu iko kwa umbali wa [[miaka ya nuru]] takriban 323 - 433 kutoka [[Jua]] letu, tofauti ya namba inatokana na vipimo vinavyoofautiana hadi sasa bila kupata usuluhisho<ref>Turner & alii (2013)</ref>. [[Mwangaza unaoonekana]] ni mag 1.98.
 
Kutubu ni [[nyota pachamaradufu]] yenye sehemu tatu : nyota kuu inayojulikana kama α Umi Aa (au A<sup>1</sup>) inayozungukwa na msindikaji mdogo α Umi Ab (au A<sup>2</sup>) na hizi mbili zinazungukana na nyota ya tatu α Umi B kitovu cha graviti cha pamoja.
 
Kutubu ilitambuliwa kwenye mwaka 1780 na [[William Herschel]] kwa darubini kuwa [[nyota pacha]] yaani mfumo wa nyota mbili za α Umi A na α Umi B. Wakati ule [[darubini]] ya Herschel ilikuwa kati ya vifaa bora duniani. Kwa kutumia [[Darubini ya Angani ya Hubble]] ilitambuliwa kwenye mwaka 2006 ya kwamba pia nyota ya A yenyewe ni nyota pacha na sasa Polaris yote inajulikana kama mfumo wa nyota tatu zinazoitwa α Umi A<sup>1</sup>, α Umi A<sup>2</sup> na α Umi B.
Nyota kuu ni Kutubu A<sup>1</sup> (Polaris Aa) ambayo ni [[nyota geugeubadilifu]] yenye masi ya Jua mara 5 iking’ara mara 1200 kuliko Jua letu. Kutokana na mng’aro mkubwa inapangwa katika kundi la [[nyota jitu kuu]] . Mwangaza wa α Umi Aa ulibadilikabadilika kati ya mag 1.86 hadi 2.13 wakati wa kurekodiwa kama miaka 100 iliyopita. Baadaye kiwango hiki kilipungua kwa muda mrefu lakini kwa miaka ya nyuma kimeanza kuongezeka tena<ref>Lee & alii (2008)</ref>
 
==Kutubu kama Nyota ya Ncha ya Kaskazini==
Mtazamaji kwenye nusutufe ya kazkazini ya Dunia anaona nyota jinsiya zinavyozungukaKutubu wakatiinakaa wamahali usikupake ila tuilhali nyota yazote Kutubuzingine inakaazinazunguka mahaliwakati pakewa usiku. Hali halisi inazunguka pia kidogo lakini haitambuliki na mtazamaji maana haiko kikamilifu kwenye ncha ya anga bali kwa umbali wa nyuzi 0,7°.
 
Katika kumbukumbu za kale si Kutubu iliyoangaliwa kuwa nyota ya kuonyesha mwelekeo wa kaskazini. Ptolemaio aliitaja kama « kwenye mkia wa Dubu Mdogo » <ref>Toomer (1984), uk. 341</ref> Miaka 2000 iliyopita nyota iliyokuwa karibu zaidi na ncha ya kaskazini ya anga ilikuwa Kochab (β Ursae Minoris ). Kutokana na [[kusogea kwa mhimili wa mzunguko]] (ing. [[:en:precession]]) pia Kutubu imefika katika nafasi hii takriban miaka 400 iliyopita na bado inaendelea kukaribia hadi mwaka 2100; baadaye itaendelea polepole kusogea tena mbali na ncha ya kaskazini ya anga. Baada ya miaka 12,000, nyota ya Vega katika [[Kinubi (kundinyota)|Kinubi]] itakuwa nyota ya ncha ya kaskazini jinsi ilivyowahi kuwa miaka 14,000 iliyopita.
 
{| class="wikitable sortable"