Christian Doppler : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Christian Doppler '''Christian Andreas Doppler''' (* 29 Novemba 1803 mjini Salzburg, Austria; † 17 Machi 1853 huko Venisi...'
 
No edit summary
 
Mstari 6:
Doppler alizaliwa Salzburg katika familia ya wachongaji wa mawe. Ilhali alikuwa mtoto mdhaifu hakujiunga na biashara ya familia bali aliruhusiwa kusoma. Alisoma kwenye chuo cha politekniki cha Salzburg akawa profesa msaidizi huko [[Prague]] iliyokuwa sehemu ya milki ya Austria wakati ule. 1836 alifunga ndoa na Mathilde Sturm. 1840 alipokelewa katika Shirika ya Sayansi ya Kifalme ya Bohemia na mwaka uliofuata alipewa nafasi ya kuwa profesa kamili kwenye Chuo cha Uhandisi Prague.
 
Alitunga kitabu kuhusu nuru yenye rangi ya [[nyota pachamaradufu]]. [[Nadharia tete]] yake haikuthebitishwa lakini aliweza kuona athari ya Doppler kwenye mawimbi ya sauti; wakati wake reli za kwanza zilimwezesha kuonyesha mabadiliko ya sauti ya chanzo chenye kasi fulani.
 
Wakati wa mapinduzi ya 1848 alihamia [[Vienna]] akawa mkurugenzi wa taasisi ya fizikia ya Chuo Kukuu cha Vienna.